Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,081
Hivi ni mitano tena au milele tena?
Bashiru ana hard copy ya ni akina nani na sehemu waliopo wote waliokuwa wamejimilikisha mali za Chama ikiwemo channel ten kiasi cha fedha walichokukuwa wamevuna, wapambe wao nk...Huyu bashiru simpendi Kama nn sijui...kila nikimuona nahisi na yy afungashe virago..
Samia akiwalea hao asilia lao ni kujilimbikizia Mali.Kama kuna msiba uliojaa unafiki, majungu na fitina ni huu. Mbele ya vyombo vya habari ni nyuso zilizogubikwa na majonzi na uchungu lakini nyuma ya pazia ni shangwe , vigelegele na kujipanga. Ni mtifuato na kujipanga upya.
CCM asilia (wenye chama chao) haooo... CCM makinikia kijasho chembamba kinawatoka. Ni mtifuano wa kugombea nafasi.. CCM asilia imedhamiria kurudi mazima , CCM makinikia inahaha kubaki kwenye power.
Mama Samia anaapishwa muda huu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2021-2025. Wiki chache zijazo tutashuhudia mengi sana ndani ya CCM. Tutakuwa na mengi mno ya kushirikishana. Stay tuned.
Kwasasa ni shangwe tupu kwa CCM asili na wanatamani msiba uishe haraka.. Wanatamani hata mazishi yafanyike kesho.
Je, CCM makinikia ina ubavu wa kupambana na CCM asili? Tuombeane heri. Mtifuano wa ndugu wawili wasiopendana unakuja.
Picha pleaseWatu jana huko Tunduma wamekesha wanakunywa bia.
Vipi Saccos ya Chadema inaendeleaje? Imeshindwa hata kutoa uamuzi wa wale wabunge wenu wa Covid-19!!Kama kuna msiba uliojaa unafiki, majungu na fitina ni huu. Mbele ya vyombo vya habari ni nyuso zilizogubikwa na majonzi na uchungu lakini nyuma ya pazia ni shangwe , vigelegele na kujipanga. Ni mtifuato na kujipanga upya.
CCM asilia (wenye chama chao) haooo... CCM makinikia kijasho chembamba kinawatoka. Ni mtifuano wa kugombea nafasi.. CCM asilia imedhamiria kurudi mazima , CCM makinikia inahaha kubaki kwenye power.
Mama Samia anaapishwa muda huu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2021-2025. Wiki chache zijazo tutashuhudia mengi sana ndani ya CCM. Tutakuwa na mengi mno ya kushirikishana. Stay tuned.
Kwasasa ni shangwe tupu kwa CCM asili na wanatamani msiba uishe haraka.. Wanatamani hata mazishi yafanyike kesho.
Je, CCM makinikia ina ubavu wa kupambana na CCM asili? Tuombeane heri. Mtifuano wa ndugu wawili wasiopendana unakuja.
Ila msije mkaanza kuchungia mifugo yenu kwenye hifadhi yetu mpya ya BurigiSisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye Baiskeli

Hii mijitu haifai kabisa na haina nia njema na nchi hii.Hao CCM asilia ni majizi, system haiwezi kuwaruhusu
Sisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye Baiskeli

Na tunaenda kuchunga Ng'ombe na Kondoo
Weka hakiba ya maneno CHIEF WINGIA kuna vitu havihitaji ramli...tena kuna ccm sijaitaja hapa..ccm maslahiMshana Jr . kwanini unapenda ramli chonganishi hasa kwa nchi na ccm..?
Aliyesema ataifuta kafutika yeye. Ipo sana mpaka ushaeVipi Saccos ya Chadema inaendeleaje? Imeshindwa hata kutoa uamuzi wa wale wabunge wenu wa Covid-19!!