Kama bahati tu, CCM asili inafufuka

Kama bahati tu, CCM asili inafufuka

Ni vita kati ya washamba na watoto wa mjini. Ndugu zangu wasukuma zile mbwembwe ndio zimefikia tamati.
Na walikuwa wanatupiga mikwara kwelikweli
Utasikia nakupa wiki moja kama utaendelea kula ugali...yaani dah
 
Na kama kuna wanafiki wa kifo ni CHADEMA na wapinzani wengine. Wanakesha kupiga propaganda ili system ya JPM iondoke na CCM ya zamani irudi.

Sababu wanajua wazi CCM ya JPM wapinzani uchwara kama tulionao walivyogaragazwa!

Wanaombea CCM ya ubabaishaji irudi ili angalau ubabaishaji wao nao upate nafasi.
Chini ya JPM hakukuwa na CCM chama (hoja) bali CCM dola (mabavu).
CCM dola mwenye hatimiliki alikuwa mtu mmoja tu (JPM) kwa kutumia mtutu wa bunduki. Ni chama ambacho hakikupendwa kabisa na wananchi na wala hakikushinda uchaguzi wa October 2020.

Chuki na mgawanyiko uliopo sasa miongoni mwa Watanzania umesababishwa na mambo ya kinyama, kishenzi na kikatili chini ya CCM dola.
 
Naomba ufafanuzi Mshana Jr hiyo CCM asili ndiyo hipi? Yakina January? Nape? Mzee Kikwete?
Wala mshana hajui lolote,ccm ya akina makamba,kinana,rostamu aziza,na kina kikwete,ndio ccm ya wapiga dili na mafisadi,hili ndilo genge linalohusika na mikakati yoote miovu juu ya utawala wa awamu ya tano,
 
Sisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana, fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye Baiskeli.
images

😂😂
 
Kwani Jakaya alikuwa anafanya nini humo!!
Jakaya;- bashiru anafanya nini humu ndani?

Mangula;- ooh ni katibu bado hajakabidhi sijui nini

Jakaya;- ahaa, atoke bwana hawezi kuwa sehemu mbili huyu ni sehemu ya serikali atoke nje.
Chukua vitu vyako toka bwana!

Bashiru 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️😆😆
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom