ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Mbona ipo wazi tu?hawa asilia ni kina nani na makinikia kina nani??tubelight yangu haijawaka hapo

Sisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye baiskeli
hapana mi sikubaliani na wee kabisa..
Moja ya taasisi huwa naiheshimu sana ni JWTZ.Hizi zingine zinaweza tumika kama Bubble gum tu na wanasiasa...TISS WALIWEKWA MFUKONI
Sisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye Baiskeli

Prophesize MshanaKama kuna msiba uliojaa unafiki, majungu na fitina ni huu. Mbele ya vyombo vya habari ni nyuso zilizogubikwa na majonzi na uchungu lakini nyuma ya pazia ni shangwe , vigelegele na kujipanga. Ni mtifuato na kujipanga upya.
CCM asilia (wenye chama chao) haooo... CCM makinikia kijasho chembamba kinawatoka. Ni mtifuano wa kugombea nafasi.. CCM asilia imedhamiria kurudi mazima , CCM makinikia inahaha kubaki kwenye power.
Mama Samia anaapishwa muda huu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2021-2025. Wiki chache zijazo tutashuhudia mengi sana ndani ya CCM. Tutakuwa na mengi mno ya kushirikishana. Stay tuned.
Kwasasa ni shangwe tupu kwa CCM asili na wanatamani msiba uishe haraka.. Wanatamani hata mazishi yafanyike kesho.
Je, CCM makinikia ina ubavu wa kupambana na CCM asili? Tuombeane heri. Mtifuano wa ndugu wawili wasiopendana unakuja.
Kama kuna msiba uliojaa unafiki, majungu na fitina ni huu. Mbele ya vyombo vya habari ni nyuso zilizogubikwa na majonzi na uchungu lakini nyuma ya pazia ni shangwe , vigelegele na kujipanga. Ni mtifuato na kujipanga upya.

Chini ya ccmTanzania huru inarudi

Tulia Kwanza mzee,sisi wengine tuna majonzi ya ukweli ukweli oohh!!!.Kama kuna msiba uliojaa unafiki, majungu na fitina ni huu. Mbele ya vyombo vya habari ni nyuso zilizogubikwa na majonzi na uchungu lakini nyuma ya pazia ni shangwe , vigelegele na kujipanga. Ni mtifuato na kujipanga upya.
CCM asilia (wenye chama chao) haooo... CCM makinikia kijasho chembamba kinawatoka. Ni mtifuano wa kugombea nafasi.. CCM asilia imedhamiria kurudi mazima , CCM makinikia inahaha kubaki kwenye power.
Mama Samia anaapishwa muda huu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2021-2025. Wiki chache zijazo tutashuhudia mengi sana ndani ya CCM. Tutakuwa na mengi mno ya kushirikishana. Stay tuned.
Kwasasa ni shangwe tupu kwa CCM asili na wanatamani msiba uishe haraka.. Wanatamani hata mazishi yafanyike kesho.
Je, CCM makinikia ina ubavu wa kupambana na CCM asili? Tuombeane heri. Mtifuano wa ndugu wawili wasiopendana unakuja.

Kwan kaz ya makam mwenyekit ni nin?Ccm Haina katibu mkuu na mwenyekiti kikao Cha kesho ni moto
Bora mafisadi bhana , hii nchi yetu sote , mtu anakwambia et mzalendo alaf yeye anakula kuku wewe unashindia michicha , huo ujinga hakuna anayeweza ukubaliBora hao majizi lakini hela zilikuwa kwenye mzunguko mtaani kila mtu zinampitia,sio hao washamba mafisadi wa kimya kimya hela wanazifukia ndani shenzitype zao.
Anzia pale kwa Masele ,Nape January, Serukamba, na wengine wengi ndo utajua ccm asili tupohawa asilia ni kina nani na makinikia kina nani??tubelight yangu haijawaka hapo