Kama bahati tu, CCM asili inafufuka

Kama bahati tu, CCM asili inafufuka

Mkuu utarudi chamani?
Mapenzi ya Chama kile yalishanitoka kabisa, sasa hivi Chadema kiko Moyoni mwangu.

Nitabaki Chadema hadi pale Katiba mpya na Tume huru zitakapopatikana ninataka kuiona Tanzania mpya yenye kuheshimu HAKI za Binadamu.

Nataka kuuona Chaguzi zikifanyika kwa Uhuru na HAKI huku mshindi tukimpongeza na kumpa mkono wa furaha.
 
Mapenzi ya Chama kile yalishanitoka kabisa, sasa hivi Chadema kiko Moyoni kwangu.

Nitabaki Chadema hadi pale Katiba mpya na Tume huru zitakapopatikana ninataka kuiona Tanzania mpya yenye kuheshimu HAKI za Binadamu.

Nataka kuuona Chaguzi zikifanyika kwa Uhuru na HAKI huku mshindi tukimpongeza na kumpa mkono wa furaha.
 
Ni vita kati ya washamba na watoto wa mjini. Ndugu zangu wasukuma zile mbwembwe ndio zimefikia tamati.
Unaposema wasukuma ogopa Sana. Hii ni jamii ya kuiendea pole. Wakiamua lao nchi itatikisika.

Acha ukabila endelea kuchapa Kazi.
 
CCM ASILI vs ccm makinikia!! Hakika hii itakuwa ni Vita ya Tatu ya Dunia! Ngoja tuone itakavyokua. Hitimisho lake ni 2025!

Natarajia kuona kipindi hicho wana CCM wakigawana fito baada ya hiki chama chao kikongwe kujifia kifo cha mende! Asante sana Mh. Rais Magufuli kwa kufanikisha hii ndoto yangu ya kuiona CCM ikifa, ikielekea kutimia.
 
Ridhiwani did nothing wrong!
IMG-20210320-WA0089.jpg
 
Duuuh,kweli bhana,naikumbuka ccm kipindi cha kikwete,ccm ya wapiga dili,ccm ya wauza UNGA,ccm ya mafisadi,ccm iliyokuwa ikilea ujambazi,ccm ya waporaji,duuuh,upinzani unaelekea kuimalika sasa,
 
Kama kuna msiba uliojaa unafiki, majungu na fitina ni huu. Mbele ya vyombo vya habari ni nyuso zilizogubikwa na majonzi na uchungu lakini nyuma ya pazia ni shangwe, vigelegele na kujipanga. Ni mtifuato na kujipanga upya.

CCM asilia (wenye chama chao) haooo... CCM makinikia kijasho chembamba kinawatoka. Ni mtifuano wa kugombea nafasi.. CCM asilia imedhamiria kurudi mazima, CCM makinikia inahaha kubaki kwenye power.

Mama Samia anaapishwa muda huu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2021-2025. Wiki chache zijazo tutashuhudia mengi sana ndani ya CCM. Tutakuwa na mengi mno ya kushirikishana. Stay tuned.

Kwasasa ni shangwe tupu kwa CCM asili na wanatamani msiba uishe haraka.. Wanatamani hata mazishi yafanyike kesho.

Je, CCM makinikia ina ubavu wa kupambana na CCM asili? Tuombeane heri. Mtifuano wa ndugu wawili wasiopendana unakuja.

Ngoja niendelee kuwasubiria hao makinikia sijui ni kina nani
giphy.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom