Kama bahati tu, CCM asili inafufuka

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,795
Kama kuna msiba uliojaa unafiki, majungu na fitina ni huu. Mbele ya vyombo vya habari ni nyuso zilizogubikwa na majonzi na uchungu lakini nyuma ya pazia ni shangwe, vigelegele na kujipanga. Ni mtifuato na kujipanga upya.

CCM asilia (wenye chama chao) haooo... CCM makinikia kijasho chembamba kinawatoka. Ni mtifuano wa kugombea nafasi.. CCM asilia imedhamiria kurudi mazima, CCM makinikia inahaha kubaki kwenye power.

Mama Samia anaapishwa muda huu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2021-2025. Wiki chache zijazo tutashuhudia mengi sana ndani ya CCM. Tutakuwa na mengi mno ya kushirikishana. Stay tuned.

Kwasasa ni shangwe tupu kwa CCM asili na wanatamani msiba uishe haraka.. Wanatamani hata mazishi yafanyike kesho.

Je, CCM makinikia ina ubavu wa kupambana na CCM asili? Tuombeane heri. Mtifuano wa ndugu wawili wasiopendana unakuja.
 
Kama kuna msiba uliojaa unafiki, majungu na fitina ni huu...mbele ya vyombo vya habari ni nyuso zilizogubikwa na majonzi na uchungu lakini nyuma ya pazia ni shangwe , vigelegele na kujipanga. Ni mtifuato na kujipanga upya.

CCM asilia (wenye chama chao) haooo... CCM makinikia kijasho chembamba kinawatoka. Ni mtifuano wa kugombea nafasi.. CCM asilia imedhamiria kurudi mazima , CCM makinikia inahaha kubaki kwenye power.

Mama Samia anaapishwa muda huu kuwa rais wa jamhuri ya muungano 2021-2025..wiki chache zijazo tutashuhudia mengi sana ndani ya CCM. Tutakuwa na mengi mno ya kushirikishana.. Stay tuned.

Kwasasa ni shangwe tupu kwa CCM asili na wanatamani msiba uishe haraka.. Wanatamani hata mazishi yafanyike kesho.

Je, CCM makinikia ina ubavu wa kupambana na CCM asili? Tuombeane heri... Mtifuano wa ndugu wawili wasiopendana unakuja.
Aiseeee!!!
 
Johnthebaptist unaitwa huku.

Maendeleo hayana chama!
 
EjzqGSrWsAEqz4O3.jpg
 
Kwahiyo unamaanisha aliyepo sasa hana nguvu? Kwamba ataacha mambo yaende kienyeji kila mtu ajiamulie anavyotaka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom