Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 21,629
- 43,012
Watu jana huko Tunduma wamekesha wanakunywa bia.Bwashee unamuonea wivu David Silinde!
Watu jana huko Tunduma wamekesha wanakunywa bia.Bwashee unamuonea wivu David Silinde!
😄😄😄Sisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye baiskeli
umeongea point. ngoja tuoneKama kuna msiba uliojaa unafiki, majungu na fitina ni huu. Mbele ya vyombo vya habari ni nyuso zilizogubikwa na majonzi na uchungu lakini nyuma ya pazia ni shangwe , vigelegele na kujipanga. Ni mtifuato na kujipanga upya.
CCM asilia (wenye chama chao) haooo... CCM makinikia kijasho chembamba kinawatoka. Ni mtifuano wa kugombea nafasi.. CCM asilia imedhamiria kurudi mazima , CCM makinikia inahaha kubaki kwenye power.
Mama Samia anaapishwa muda huu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2021-2025. Wiki chache zijazo tutashuhudia mengi sana ndani ya CCM. Tutakuwa na mengi mno ya kushirikishana. Stay tuned.
Kwasasa ni shangwe tupu kwa CCM asili na wanatamani msiba uishe haraka.. Wanatamani hata mazishi yafanyike kesho.
Je, CCM makinikia ina ubavu wa kupambana na CCM asili? Tuombeane heri. Mtifuano wa ndugu wawili wasiopendana unakuja.
Daaah we fala umenichekesha sanaSisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye baiskeli
Katibu Mkuu CCM Dr Emanuel Nchimbi kumbuka anakuwa katibu mkuu wa nne kutokea songea so si ajabu watangulizi wake tokea huko ni Mzee kawawa,kolimba na Gama wote wametangulia mbele ya haki ss anarudiKama kuna msiba uliojaa unafiki, majungu na fitina ni huu. Mbele ya vyombo vya habari ni nyuso zilizogubikwa na majonzi na uchungu lakini nyuma ya pazia ni shangwe , vigelegele na kujipanga. Ni mtifuato na kujipanga upya.
CCM asilia (wenye chama chao) haooo... CCM makinikia kijasho chembamba kinawatoka. Ni mtifuano wa kugombea nafasi.. CCM asilia imedhamiria kurudi mazima , CCM makinikia inahaha kubaki kwenye power.
Mama Samia anaapishwa muda huu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2021-2025. Wiki chache zijazo tutashuhudia mengi sana ndani ya CCM. Tutakuwa na mengi mno ya kushirikishana. Stay tuned.
Kwasasa ni shangwe tupu kwa CCM asili na wanatamani msiba uishe haraka.. Wanatamani hata mazishi yafanyike kesho.
Je, CCM makinikia ina ubavu wa kupambana na CCM asili? Tuombeane heri. Mtifuano wa ndugu wawili wasiopendana unakuja.
DuhWatu jana huko Tunduma wamekesha wanakunywa bia.
Bila kusahau makofi mkijichanganya tuSisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye baiskeli

Hyo inaitwa Titi fo Tati.
Imerudi ile CCM pure kabisa wale wapiga kabali warudi mtaani tuje tugawane viungo vyao mithili ya mbwa mwitu mwindoni![]()

Hao CCM asilia ni majizi, system haiwezi kuwaruhusuAnatafutiwa msaidizi mwenye nguvu la sivyo Tanganyika iko mashakani
Bila shaka salamu zimefika
Hongeza nyingineWaliua upinzani wakajua wapo salama
Sasa wanatifuana wao kwa wao
Kummmmmmakeeeee