Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,434
- 860,254
- Thread starter
- #141
Afu kile kubabu cha Tanga kile wasikiendekeze! Samia wala asiwe anapokea simu zake za kinafki kama anajipenda![emoji848][emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji3064] ni kipi icho kibabu cha TangaHakuna cha ccm mafisadi kupenyeza hapa! Tunaye Mangula hataruhusu! Na uenyekiti wamikabidhi haraka Samia! Afu kile kubabu cha Tanga kile wasikiendekeze! Samia wala asiwe anapokea simu zake za kinafki kama anajipenda!
Hii ccm mpya imeshasukwa na hayo makapi hayana nafasi!
Sent using Jamii Forums mobile app