Pazi na Jogoo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 331
- 494
Ukweli ni kwamba kuna watu wanaenda kupotea kwenye Ulingo wa Siasa baada ya uchaguzi 2025, Bora ndg yangu Bashite yeye keshazoea hali yake kwa sasa kuwa mbali na siasa hata mambo yote yahusianayo na serikali/utumishi wa Umma!
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app

