CCM chotara inaweza kuwa hatari kuliko CCM asili na CCM makinikia

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,796
Kuna CCM mpya imezaliwa, CCM ya wakuja. Hii ndio CCM ijayo. CCM hii itakuwa kitisho hata kwa mustakabali wa Taifa. Itakuwa tishio hata kwa CCM asili na CCM makinikia bila kusahau CCM maslahi

CCM chotara itajaa vijana wasiopitia vyuo vya siasa kama ilivyo kwa CCM asili. Hawa ni wanaharakati wa mageuzi waliopikwa na upinzani. Hawana asili na CCM. Hawana MAPENZI ya kweli na CCM. Hali imebana lakini kwakuwa bado damu inachemka na bado wana ndoto nyingi basi wao ni mbele kwa mbele. Tafakuri ni kidogo sana hapa.

CCM asili ambayo walau ndio ilitakuwa kushika hatamu za chama na kutoa miongozo iko hoi, kwisha habari yake. Imenyongelewa upenuni peupe na kuchinjiwa baharini.

Makundi yanayotamba kwa sasa ni haya:

CCM makinikia, hawa ni mabaki ya CCM asili. Bendera fuata upepo. Hawa hawana misimamo.

CCM maslahi, hili ni kundi kubwa ambalo liko ndani ya chama si kwa MAPENZI la hasha bali kwa maslahi yao kijamii, kifamilia, ajira, biashara, vyeo nknk. Hili ni kundi kinyonga, linacheza na bit ya upepo.

Kundi la mwisho ni hili kundi jipya CCM chotara. Hili halina tofauti kubwa na CCM maslahi kwakuwa msingi wao wa kujiunga na chama sio mapenzi halisi ya kufanya siasa za kichama ndani ya CCM.

Kundi hili ni hatari kwa CCM yenyewe kwakuwa halina misingi ya siasa za CCM na halina asili na CCM. Likipata chizi kufanya mapinduzi ni dakika, lakini pia kwa ule moto wa ndoto kubwa mbeleni na ahadi za vyeo na nafasi za uongozi wako tayari kufanya lolote na chochote kumfurahisha yoyote watakayeona ana nafasi na uwezo wa kutimiza ndoto na matamanio yao.

CCM chotara inaweza kuja kuamua hata ukomo wa madaraka
CCM chotara inaweza kuja kupitisha sheria mbovu hata kuliko tulizo nazo sasa
CCM chotara inaweza kuja kutupa katiba mbovu pengine kuzidi ya sasa
CCM chotara ni hatari kuliko hatari yenyewe

Sijazungumzia CCM mfu kwakuwa marehemu hatetwi. Marehemu hasemwi vibaya.

Katika makundi yote hayo CCM asili inayofahamu misingi na itikadi. Inayoheshimiana na kubebana ndilo kundi lenye maumivu makubwa kwa sasa, inayaona yanayotokea lakini hata kunong'ona tu inashindwa.

Kuna watu wanakitabiria kifo CHADEMA. Chama cha UPINZANI mahiri kilicho mwiba mchungu kwa CCM. Nawashauri wawe na tafakuri ya mbali. Kifo cha CHADEMA ni msiba wa CCM. CHADEMA kikifa CCM halisi haitapona kwakuwa hao watakaosaidia kuiua CHADEMA ndio hao watakuwa wapendwa ndani ya CCM kama tulivyokwisha ona. Na hapo ndio itazaliwa CCM chotara iliyojaa wasaliti.

Kama mtu hazijui tabia za msaliti ni vema akajifunza sasa. Usaliti hauna tofauti na kula nyama ya mtu. Ukianza huachi. Chotara hana rangi moja!

Jr
 
Itafikia wakati hii hybrid iliyoko CCM itajitenga na CCM asili kitachotokea sasa ile asili itageuka kuwa chama cha upinzani baada ya mapinduzi makubwa yenye maumivu na usaliti
Ni ngumu wataendelea tu kubanana humohumo labda fukuto lizidi sana sana

Jr
 
Mtu anayeijua vizuri CCM akisoma mada yako atakuhurumia sana!

Wahenga walisema, ''Half knowledge is worse than ignorance''!

Wahenga wengine waliboresha zaidi na kusema, ''He who knows not and knows not that he knows not is a fool''.
 
Kuna CCM mpya imezaliwa, CCM ya wakuja. Hii ndio CCM ijayo. CCM hii itakuwa kitisho hata kwa mustakabali wa Taifa. Itakuwa tishio hata kwa CCM asili na CCM makinikia bila kusahau CCM maslahi

CCM chotara itajaa vijana wasiopitia vyuo vya siasa kama ilivyo kwa CCM asili. Hawa ni wanaharakati wa mageuzi waliopikwa na upinzani. Hawana asili na CCM. Hawana MAPENZI ya kweli na CCM. Hali imebana lakini kwakuwa bado damu inachemka na bado wana ndoto nyingi basi wao ni mbele kwa mbele. Tafakuri ni kidogo sana hapa.

CCM asili ambayo walau ndio ilitakuwa kushika hatamu za chama na kutoa miongozo iko hoi, kwisha habari yake. Imenyongelewa upenuni peupe na kuchinjiwa baharini.

Makundi yanayotamba kwa sasa ni haya:

CCM makinikia, hawa ni mabaki ya CCM asili. Bendera fuata upepo. Hawa hawana misimamo.

CCM maslahi, hili ni kundi kubwa ambalo liko ndani ya chama si kwa MAPENZI la hasha bali kwa maslahi yao kijamii, kifamilia, ajira, biashara, vyeo nknk. Hili ni kundi kinyonga, linacheza na bit ya upepo.

Kundi la mwisho ni hili kundi jipya CCM chotara. Hili halina tofauti kubwa na CCM maslahi kwakuwa msingi wao wa kujiunga na chama sio mapenzi halisi ya kufanya siasa za kichama ndani ya CCM.

Kundi hili ni hatari kwa CCM yenyewe kwakuwa halina misingi ya siasa za CCM na halina asili na CCM. Likipata chizi kufanya mapinduzi ni dakika, lakini pia kwa ule moto wa ndoto kubwa mbeleni na ahadi za vyeo na nafasi za uongozi wako tayari kufanya lolote na chochote kumfurahisha yoyote watakayeona ana nafasi na uwezo wa kutimiza ndoto na matamanio yao.

CCM chotara inaweza kuja kuamua hata ukomo wa madaraka
CCM chotara inaweza kuja kupitisha sheria mbovu hata kuliko tulizo nazo sasa
CCM chotara inaweza kuja kutupa katiba mbovu pengine kuzidi ya sasa
CCM chotara ni hatari kuliko hatari yenyewe

Sijazungumzia CCM mfu kwakuwa marehemu hatetwi. Marehemu hasemwi vibaya.

Katika makundi yote hayo CCM asili inayofahamu misingi na itikadi. Inayoheshimiana na kubebana ndilo kundi lenye maumivu makubwa kwa sasa, inayaona yanayotokea lakini hata kunong'ona tu inashindwa.

Kuna watu wanakitabiria kifo CHADEMA. Chama cha UPINZANI mahiri kilicho mwiba mchungu kwa CCM. Nawashauri wawe na tafakuri ya mbali. Kifo cha CHADEMA ni msiba wa CCM. CHADEMA kikifa CCM halisi haitapona kwakuwa hao watakaosaidia kuiua CHADEMA ndio hao watakuwa wapendwa ndani ya CCM kama tulivyokwisha ona. Na hapo ndio itazaliwa CCM chotara iliyojaa wasaliti.

Kama mtu hazijui tabia za msaliti ni vema akajifunza sasa. Usaliti hauna tofauti na kula nyama ya mtu. Ukianza huachi. Chotara hana rangi moja!

Jr
As long as itakuwa tishio kwa chadema hii ya wanafiki, poa tu!
 
Well said mkuu, na huo ndio ukweli mchungu mwenye masikio kama ya popo na asikie! Najua mke wangu Bia Yetu atakuja na madharau yake lakini huo ndio ukweli! Sasa hivi CCM asilia wamebaki wanavisikia vyeo kwenye bomba!
 
Back
Top Bottom