Upuuzi“Kwa wastani umeme unaozalishwa kwa kutumia gesi asilia ni takribani asilimia 65 mpaka 70 ya umeme wote unaozalishwa nchini. Wataalam wanatuambia kwamba kama tusingekuwa na gesi asilia, tatizo la umeme nchini lingekuwa kubwa zaidi. Kwahiyo, tushukuru sana Mungu kutuletea rasilimali hii ya gesi asilia.” – Rais Samia Suluhu.
View attachment 2893074
Nchi ambazo hazina gesi wanategemea umeme wa nini?
Semenya Anzisha umeme wako sasa badala ya blah blah blah.Wenzetu wanatoka kwenye umeme mchafu wa Mabaki ya Wanyama,
Kuhamia kwenye Solar, Maji, Upepo .
Juzi nilikuona kwenye foleni ya wanufaika wa TASAF ukanikaushia.Semenya Anzisha umeme wako sasa badala ya blah blah blah.
Nyau wewe
Huo muda wa kujua anao sasa?Huyu sidhan km anajua asemalo