Sparp_rich
Member
- May 9, 2022
- 29
- 44
binafsi huko whatxup wanakujaga wengi sana kutoa ushauri yaan kukushawishi ujiunge na hizo investment lkn huwa nawakata kauli "PESA HUMFATA MWENYE PESA NA MAWAZO YA MBALI " hivyo ili upte ni lazm utoe kwa akili ili uvune kingine kikubwa na ukiangalia sisi watanzania (wengi wetu)tuna elimu mpk degree lkn hakun watu wanaongoza kuliwa na hizi investment kam wanachuo hela za mikopo mtu ana invest investment bongo hapa acha wajinga wawalishe matajili na hii ni KANUNI YA KIMUNGU (mungu haweki kitu kwenye kapu lililotupu )NEVER