Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

wao kujivinjari sio tatizo kama wote wapo single, tatizo ni scene waliyoichagua, mimi nitawatimua kwangu wakapendane huko mbali. Ni kweli hapo kwangu ndipo walipopata opportunity na haijalishi nani aliyemuanza mwenzie lakini walipaswa kuniheshimu kwa kuhamishia scene kwingineko.

Ulitaka wakafanyie porini? Mbona we mkeo unamfanyia hapo hapo!!
 
mmmh hii hatari kwani huyo kaka yako kakosa wengine mtaani hati kwa mama mkwe???
kweli watu siku hizi hawana haya
 
Kwa hesabu ya darasa la pili tu nagundua kwamba wewe na mkeo ni mtu na babake mdogo. Yaani unayemwita braza ni baba wa unayemwita mkeo! Aisee hatareee..........
 
Kaka hajafanya vizuri kabisa
Mpe nauli arudi kwake atakuvurugia ndoa yako huyo
 
Head Prefect:

Inamaanisha walikuwa wanakula tunda sebuleni au?

BTW: hapo Mama Mkwe unaye! kha!
kwa hapo wote ni majanga tu, fukuza wote , then unamalizia na wife pambaaaf . wana laani nyumba ya mtu , unaweza usipate hela mwaka mzima
 
Hizi postings nyingine bana. Nahisi ni weye ndo umefanya hivyo sasa guilty consciousness inakusumbua umekuja kutafuta sympathy JF coz maswali ni mengi, kweli wajinga wasifunge mlango, wasiende chumbani au hata kujifungia bafuni ?? !

Kama sivyo, lets hope mama mkwe hajamrithisha binti yake uzoefu wa kubanjuana maana siku nyingine unaweza rudi na kukuta balaa kubwa !!
 
hiyo kali ayse bt bro kafikisha tu ujumbe kwani mengi huwa yanatendeka katika jamii zetu sems tu hatusikii
 
Kaka hajafanya vizuri kabisa
Mpe nauli arudi kwake atakuvurugia ndoa yako huyo

Kwani kammega mkewe...!? hiyo ndoa ataiharibu vipi!? awawache walaliane tu....!
 
Kiranja Mkuu mama mkwe ni kabila gani?? Ana umri gani.?? Mkeo ni wangapI kuzaliwa.?? Huyo mama mkwe ndo kafika au huwa anakuja na kuondoka
 
Last edited by a moderator:
si ajabu hiyo saa tano na wewe ulirudi kummega, tunajiuliza ulijuaje wanamegana kama si kwenda mojakwa moja chumbani kwa ma mkwe wako?
 
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake.
Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu.
Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.

Wonders will never end!
 
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake.
Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu.
Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.

hata kama ni kwako,

ukome kuingia ndani bila hodi bana!

ona sasa, utaishije na mama mkwe wako??

sijui atakuhonga nini ili muelewane!
 
Back
Top Bottom