Unamdogo wa kike tuingie maabara kwa practical???!!!!
waache waendelee na utamu wao.Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake.
Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu.
Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.
Mwambie wacha mara moja
Hapo solution kaka yako arudi kwao na mama mkwe aende kwao
Pumb.avu wasiokuwa na aibu wala maadili
Haina SHOBO hata km Post ya zamani lakini watu kila siku wanagegedana hawajali ni Mama Mkwe mradi pana unyevunyevu. Huyu Mama Mkwe huenda ni miaka hana mtu wa kumsulubu, na kwa vile kafumaniwa kwenye Penati Box acheni mpira uokote kwenye nyavu. Hii inarudisha Ujana na kuponya magonjwa mengi km Pressere, kipanda nye*e, chumvi, kulemaa mgongoWakwetu........umeona post ni ya lini.........?
xaxa hpo mbona hapana xhaka? Au kwkuwa huyo jamaa n blaza wako? Asingekuwa? Ungechukulia poa e!?
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake.
Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu.
Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.
... Dha !!..Mkuu mbavu... sina Heshima Kwako!!!
kesi Hipo,
kwa sababu huyo Kakake sasa atakuwa ni Babamkwe wake, na Watoto wa Kakake sasa watakuwa mashemeji zake, Na Mkewe anamwita huyo kaka ya Mmewe kuwa ni Babayake na watoto wa wa huyo shemeji yake watakuwa wadogo zake
Kaaaaaazi kwelikweli