Sasa kwani ya shemeji yako na ya hao watu wengine inatofauti gani?
Hahahaahaha braza kamlia timing alafu inaonyesha ni kijana kijana huyo mama mkwe bado mbichi
ha ha ha ah aha ukiifikiria nje ya boksi unapata maswali mengi sana.. we kiranja saa tano ulikua unarudi nyumbani kufanyaje kama na wewe sio ulikua unavizia?:thinking:
Mhhhh.....! Basi na ujue kuwa na mke wako anayo katabia kama hiyo, kama bado itakuja tu....!
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake.
Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu.
Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.Kwani Baba Mkwe wako yuko wapi?Alifariki siku nyingi nyumaCase closed!!!!
Huyo blaza lazima tu amesha wahi kumgonga hausigeli wake
kesi Hipo,
kwa sababu huyo Kakake sasa atakuwa ni Babamkwe wake, na Watoto wa Kakake sasa watakuwa mashemeji zake, Na Mkewe anamwita huyo kaka ya Mmewe kuwa ni Babayake na watoto wa wa huyo shemeji yake watakuwa wadogo zake
Kaaaaaazi kwelikweli