Murano
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,056
- 1,128
Naona walikuwa wanaangalia tamthiria na baada ya hapo wakaenda kupractise
ukiuliza tamthilia gan, ni ile ya star tv
Naona walikuwa wanaangalia tamthiria na baada ya hapo wakaenda kupractise
thats it Maadili yanachangia 100%.Mtoto wa kiislam hawezi fanya hivo huyo atakua anawaiga wale makasisi wa Vatican kwa kunajisi wa22.
Maana yangu ni hii... Mzazi ukikuta wanao wanadharirika usiwadharirishe zaidi., tafuta namna ya kuwasitiri.
Dare to talk openly,wamefumaniwa wanafanya nini?Wanakomba mboga,wanakwiba pesa,wanauza tv etc?Kwanini mnawapiga!
Afadhali hao wanaoa ,je wale makasisi wanaobaka watoto makanisani,kuoana mme na mme?
umejuaje hawajalelewa kislamu?.unajua dini yao?.
Acha fikra changa waarabu na uislam wao ndio wanaoongoza kwa kuoa ndugu zao
Afadhali hao wanaoa ,je wale makasisi wanaobaka watoto makanisani,kuoana mme na mme?
Hizo story tuu!
Nashangaa unasahau mapema sana! Ushoga uliokithiri hapo Zanzibar na
Mombasa ni wakristo? Zaidi ni kwamba kuna shoga alihojiwa clouds FM
kipindi cha njia panda wateja wake wakuu ni waarabu wa mwanza alikokulia
na hapo tusemeje?
Afadhali hao wanaoa ,je wale makasisi wanaobaka watoto makanisani,kuoana mme na mme?
Uislam haufundishi hivyo wala usiusingizie.
Acha uongo,ni wapi ulisikia waislamu wameoana Dada na kaka,baba mmoja mama mmoja.Acha fikra changa waarabu na uislam wao ndio wanaoongoza kwa kuoa ndugu zao
Angalia mwafrika mwenzetu anavyotutia aibuHizo story tuu! Nashangaa unasahau mapema sana! Ushoga uliokithiri hapo Zanzibar na Mombasa ni wakristo? Zaidi ni kwamba kuna shoga alihojiwa clouds FM kipindi cha njia panda wateja wake wakuu ni waarabu wa mwanza alikokulia na hapo tusemeje?
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.