Kaka afumaniwa na dada ake

Kaka afumaniwa na dada ake

Hizo story tuu! Nashangaa unasahau mapema sana! Ushoga uliokithiri hapo Zanzibar na Mombasa ni wakristo? Zaidi ni kwamba kuna shoga alihojiwa clouds FM kipindi cha njia panda wateja wake wakuu ni waarabu wa mwanza alikokulia na hapo tusemeje?

we ni mburula ama? huyo kasema wateja wake ni waarabu ajasema wateja wake ni masheikh au maimamu, kwani ukiwa mwarabu sharti uwe muslim, think out da box dogo
 
mkuu hivi yule aliyemlawiti mtoto msikitini tena huku kamshikisha Quran naye ni kasisi?
na yule aliyemlawiti mtoto na kisha kumuua naye ni kasisi? au hukuyasikia hayo na hujui aliyefanya hivo?
mkuu kiufupi dini haitendi ushenzi wanaotenda ushenzi ni watu, uwe Muslim au Christian, matendo ni ya kwako binafsi usisingizie dini na watu wa dini zote tu wapo wanaotenda ushenzi na wapo wema.

Hakuna sehemu watoto wanaharibiwa kama kwenye hizi madrassa
 
inabidi nyumba itambikiwe, ni mkosi kwenye familia huo.
 
kuzinga na maharimu (incest) contrary to cap 16 of the laws, provided under the following provisions
158. Incest by males Act No. 4 of 1998 s. 19 (1) Any male person who has prohibited sexual intercourse with a female person, who is to his knowledge his granddaughter, daughter, sister or mother, commits the offence of incest, and is liable on conviction–
(a) if the female is of the age of less than eighteen years, to imprisonment for a term of not less than thirty years;
(b) if the female is of the age of eighteen years or more, to imprisonment for a term of not less than twenty years.
(2) It is immaterial that the sexual intercourse was had with the consent of the woman.
(3) A male person who attempts to commit an offence under this section is guilty of an offence.
160. Incest by females Act No. 4 of 1998 s. 20
Any female person of or above the age of eighteen years who with consent permits her grandfather, father, brother or son to have carnal knowledge of her (knowing him to be her grandfather, father, brother or son as the case may be) commits the offence of incest and is liable to imprisonment for life or for imprisonment of not less than thirty years and shall, in addition, be ordered to pay compensation of an amount determined by the court to the victim in respect of whom the offence was committed:
Provided that if the male person is below the age of ten years, to imprisonment of not less than thirty years.
kwa unyenyekevu nawasilisha

Is this Tanzania or Sudan? Why should the female culprit be more heavily punished than a male culprit for the same offense?
 
Uislam haufundishi hivyo wala usiusingizie.

fumbua macho wewe hakuna imani ya kweli inayofundisha hayo

huo ni ushenzi unaochangiwa sana na malezi mabovu .

Msikae kutetea dini wala kuzilaumu . Watu ndo washenzi tu
 
Dare to talk openly,wamefumaniwa wanafanya nini?Wanakomba mboga,wanakwiba pesa,wanauza tv etc?Kwanini mnawapiga!

Sikupingi mkuu ila neno "fumanizi" has everything to do with kufanya "ngono" au mapenzi!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
We ni toto nn? Huelewi nn hapo, kama ni minor please u can go to Catton.
 
Acha fikra changa waarabu na uislam wao ndio wanaoongoza kwa kuoa ndugu zao

Ukiacha mazoea uliyozowea.
Naomba unijuze kwa darili za ndani ya bible je ni wanawake gani wewe huruhusiwi kuwaowa?
 
Dare to talk openly,wamefumaniwa wanafanya nini?Wanakomba mboga,wanakwiba pesa,wanauza tv etc?Kwanini mnawapiga!

Walikutwa wakifanya ngono mkuu yaani walikutwa wakiwa uchi wa mnyama wakifanya hicho kitendo ndio maana raia wakachukua jukumu la kuwakanya...so sad!!
 
Hakuna sehemu watoto wanaharibiwa kama kwenye hizi madrassa

Kwanza pole kwa kutokuelewa baadhi ya mambo basic.
Madrasa ni neno la kiarabu likiwa na maana ya shule. Kwahiyo siku nyingine usikosee tena.
Pia nidham iliyopo upande wa uislam kuhusu jinsi ya kuchanganyika watu wa jinsia tofauti hairuhusu mabinti kuwa closely na watoto wa kiume.
Kwahiyo futa mawazo kuwa watoto wanaharibika madrasa.
 
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.

mnakera sana kila mara kuwajudge watu kwa imani zao. hya Mama mkubwa wa marehemu Nasra na mumewe plus baba yake walilewa katika imani ipi ? hadi kupelekea kutesa kiumbe yule? stop this overgeneralization habit pse!
 
ndo madhara ya kuishi mjini nyumba ina vyumba viwili mama na baba wanavyonaniliii inakuwa sio siri kama zamani kaka au dada analala sebuleni kila kitu kinakuwa hadharani matokeo yake ndo hayo
 
Back
Top Bottom