Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.
Afadhali hao wanaoa ,je wale makasisi wanaobaka watoto makanisani,kuoana mme na mme?
Ni tukio linatokea sasa hivi hapa tabata mtaa wa amani. Kaka na dada ambaye wamezaliwa baba na mama mmoja wamefumaniwa katika nyumba yao.
Wazazi wa watoto hao walikuwa wametoka kwa matembezi kurudi ndio wanakutana na mkasa huo. Hivi sasa wananchi wanatembeza kichapo kwa kaka, dada amekimbia hajulikani yuko wapi.
Inasemekana kaka ana miaka 21na mdogo wake ni 18....
Dunia imekwisha, kaka na dada??? sijui binadamu tunaelekea wapi???
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.
Anti Bilali aka shoga maarufu Dar mtoto wa kinondoni, Baba yake mzazi ni Imam wa masjid Mtambani. Acha kurusha mawe ukiwa ndani ya jumba la vioo ndugu.
Mabadiliko Ya Tabia Nchi.......................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Maana yangu ni hii... Mzazi ukikuta wanao wanadharirika usiwadharirishe zaidi., tafuta namna ya kuwasitiri.
Usikute kuna mmoja wa wafumaniwa ni 'kitanda hakizai haramu'
Acha fikra changa waarabu na uislam wao ndio wanaoongoza kwa kuoa ndugu zao
Acha fikra changa waarabu na uislam wao ndio wanaoongoza kwa kuoa ndugu zao