Kaka afumaniwa na dada ake

Kaka afumaniwa na dada ake

ni wazazi bestito au watoto wenyewe kwani hujawahi sikia kuwa baba amembaka bintie mwenye miaka 5 sasa hao wakubwa kiasi hicho kuna nini hapo

ndo bikira ishatolewa kwa huyo binti na kaka yake ameamua kumla yeye kabla ya shemejie kuonja tunda

....hii ni lana,tunahitaji rehema
 
mkuu hivi yule aliyemlawiti mtoto msikitini tena huku kamshikisha Quran naye ni kasisi?
na yule aliyemlawiti mtoto na kisha kumuua naye ni kasisi? au hukuyasikia hayo na hujui aliyefanya hivo?
mkuu kiufupi dini haitendi ushenzi wanaotenda ushenzi ni watu, uwe Muslim au Christian, matendo ni ya kwako binafsi usisingizie dini na watu wa dini zote tu wapo wanaotenda ushenzi na wapo wema.
Hiyo ndio pointi
 
Ni tukio linatokea sasa hivi hapa Tabata mtaa wa Amani. Kaka na dada ambaye wamezaliwa baba na mama mmoja wamefumaniwa katika nyumba yao.

Wazazi wa watoto hao walikuwa wametoka kwa matembezi kurudi ndio wanakutana na mkasa huo. Hivi sasa wananchi wanatembeza kichapo kwa kaka, dada amekimbia hajulikani yuko wapi.

Inasemekana kaka ana miaka 21 na mdogo wake ni 18.

Dunia imekwisha, kaka na dada?

Sijui binadamu tunaelekea wapi?

makaka wengine sijui vipi?miaka 21 bado uko nyumbani kwenu tu
 
Back
Top Bottom