Kaini alipata wapi mke wake?

Kaini alipata wapi mke wake?

Swali hilo linafanana na hili na majibu ya nililosoma mahali fulani

Source:Where did Cain get the people from to build his city which he named after his son? - Quora

Where did Cain get the people from to build his city which he named after his son?
Welcome to one of the three biggest plot holes in the book of Genesis.
The canonical story has no answer to this, so countless religions have retconned this in Bible fanfic since about the time literacy caught on.
I haven’t seen any retcons that I find terribly persuasive. Middle Ages theologians said Nod wasn’t a literal city, it was endless desert populated by monsters. Origen of Alexandria took the “hell is separation from God” approach and wrote that the city of Nod wasn’t a physical city at all, it was a metaphor for being cut off from God’s Grace.

Roman Catholics believe the word “Nod” comes from “nud” (“to wander”), and so the City of Nod was a metaphor for being cast out and forced to wander—it was a state of being, in other words, rather than a physical place.

Evangelical Protestants say that since Cain was exiled and traveled to the land of Nod with his wife, but the only people who existed to that point lived in the Garden of Eden, Cain must have married and then been exiled with his sister. The city was then built by Cain himself (though how you call a place with three inhabitants—Cain, his nameless sister/wife, and his son Enoch—a “city” is left unanswered.

Progressive Protestant denominations believe the story of Adam and Eve doesn’t describe the creation of all humans, but just a specific lineage of humans, namely the lineage that gave rise to the ancient Israelites. Other lineages of people already existed. Cain met his wife after leaving the Garden and intermarried into a separate lineage; with them, he built the city of Enoch.

Some Anglicans believe the city was built not by Cain, but by his descendants, specifically on the Euphrates in present-day Iraq. The issue of where Cain’s wife came from is left unaddressed.
 
Na inaaminika kwamba baada ya hawa na adam kula tunda walitolewa kwenye bustani ya eden ndo wakashushwa kuja kuishi duniani.
Kama bustani ya eden ipo duniani walipokula tunda walishushwa kwenda KUISHI WAPI WAKATI WAPO DUNIANI HAPA HAPA?
Mkuu mbona hawa aliumbiwa hapahapa duniani

Soma mwanzo
 
Yote haya ni ubinafsi wa wayahudi!tena uchoyo! Wliaandika kitabu kutuzuia tusioe wake wengi, mbona wakina Daudi,Solomon,Jacob nawengine wengi wakua na wanawake wengi tu? Kwan Mungu hakuwapenda sana hao ?
 
Ikiwa kulikuwa na familia moja tu, Kaini alipata wapi mke wake?

Mwa. 3:20: “Adamu akamwita mke wake jina lake Hawa, kwa sababu ndiye angekuja kuwa mama ya kila mtu anayeishi.” (Kwa hiyo, wanadamu wote wangekuwa wazao wa Adamu na Hawa.)

Mwa. 5:3, 4: “Adamu akaishi miaka 130. Ndipo akazaa mwana kwa mfano wake, kwa sura yake. Akamwita jina lake Sethi. Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zikawa miaka 800. Wakati uleule akazaa wana na mabinti.” (Mmoja wa wana wa Adamu alikuwa Kaini, na bila shaka mmoja wa binti za Adamu alikuja kuwa mke wa Kaini. Wakati huo, wanadamu walipokuwa wangali wana afya bora na nguvu kimwili, kama inavyoonyeshwa na urefu wa maisha yao, hapakuwa na uwezekano mkubwa wa kuwapitishia wazao wao kasoro kwa sababu ya kuoa mtu wa ukoo.

Hata hivyo, baada ya miaka 2,500 hivi ya historia ya wanadamu, wakati hali ya kimwili ya wanadamu ilipokuwa imezorota sana, Yehova aliwapa Waisraeli sheria zilizokataza ngono kati ya watu wa familia moja.)

Mwa. 4:16, 17: “Kaini akaenda zake kutoka usoni pa Yehova na kukaa katika nchi ya Ukimbizi [au, Nodi] upande wa mashariki wa Edeni. Baadaye Kaini akalala na mke wake [“akamjua mkewe,”] naye akapata mimba, akamzaa Enoko.” (Ona kwamba Kaini hakukutana na mke wake katika nchi aliyokimbilia, kana kwamba mke huyo alitoka katika familia nyingine. Badala yake, huko ndiko alipolala na mke wake ili amzalie mwana
 
Ukisoma "The book of Adam and Eve" (Hakipo kwenye biblia ya kawaida),Utakuta mistari hii hapa chini.

2 And thereafter, Cain slew Abel, but Adam was then one hundred and thirty years old, but Abel was slain when he was one hundred and twenty-two years. And thereafter Adam knew his wife and he begat a son and called his name Seth.

xxiv 1 And Adam said to Eve, 'Behold, I have begotten a son, in place of Abel, whom Cain slew.'

2 And after Adam had begotten Seth, he lived eight hundred years and begat thirty sons and thirty daughters; in all sixty-three children. And they were increased over the face of the earth in their nations.
Hapo utaona Adam alizaa watoto 63 jumla wakike 30 na wakiume 33,walioana wao kwa kwao na kuzaliana.So kuna uwezekano mkubwa pia Cain alimuoa moja ya dada zake pia.
hiki kitabu kingewekwa kwenye biblia kingeongeza chuki zidi ya wanawake
 
Hao watoto 63 wote walizaliwa na Eva?
 
Soma Biblia vizuri, ukishindwa jaribu kuongea na viongozi wako wa dini.

Changamoto ipo ktk usomaji wako, na pia kuna changamoto ya kimapokeo na lugha yetu adhimu kutokuwa na misamiati ya kutosha.

Adamu na Eva walikuwa kama reference point ya biblia, watu wengine wanaozungumziwa na Kaini hawakuwa ndugu zake.
Ww una point
 
Natumai ni mzima na unaendelea vyema na majukumu, Kama unaumwa utapona kwa uwezo wa muumba wako.

HOJA YA MSINGI:

“Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, na baadae Seth, Je, mke wa Kaini alitoka wapi?”
Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa, na kwenye hii mada tutajibu hili swali linalo wachanga sana watu.
MUKTASARI:
Katika Mwanzo sura ya 3 na ya 4 tunapata habari zifuatazo:

(1) Hawa alikuwa “mama ya kila mtu anayeishi.”

(2) Muda fulani ulipita kuanzia wakati Kaini alipozaliwa mpaka wakati alipotoa dhabihu ambayo ilikataliwa na Mungu.

(3) Baada ya kufukuzwa na kuwa “mwenye kutanga-tanga na mkimbizi,” Kaini alikuwa na wasiwasi kwamba huenda ‘mtu yeyote akakutana naye’ na kujaribu kumuua. [Angalia hoja hapa "Kaini anaogopa kuuwawa na watu wengine"] Hapa panaonyesha kuwa Kaini alikuwa na ndugu wengine.

(4) Mungu aliweka ishara ya kumlinda Kaini, jambo lililoonyesha kwamba ndugu au dada zake, au watu wengine wa ukoo wangejaribu kumuua. Kumbe basi Kaini alikuwa na ndugu wengine zaidi ya Abel na Seth.

(5) “Baadaye” Kaini alilala na mke wake “katika nchi ya Ukimbizi.”—Mwanzo 3:20; 4:3, 12, 14-17.

Naomba majibu tafadhari.
Kimapokeo, Wayahudi wakati wa Adamu na Hawa hawakuwah3sabu watu wengine wasio Wayahudi kama watu.

Hivyo, kulikuwa na watu wanaishi kabla ya Adam na Hawa na hawa watu waliishi pembeni ya famikia hii.

Hivyo, si ajabu kwambq Kaini alienda huko na kupata mke.

Habari ya kwamba Adam na Hawa ni hekaya ya mwanzo wa Wayahudi tu. Si fact.

Kuna watu waliiishi Africa maelfu na maelfu ya miaka kabla ya wakati unaosemwa Adam na Hawa waliishi. Hili limethibitishwa.
 
Ukisoma Mwanzo 1:26 Mungu akasema na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu;... ukiendelea hadi aya ya 29 utaona Mungu aliumba mtu kwa mfano wake siku ya sita na akamuambia akazaliane (ambaye sio Adam) Na ukizingatia zaidi aliumba mwanaume na mwanamke.
Baada ya hapo ukisoma kuanzia Mwanzo 2: 7 ndipo kuna habari ya kuumbwa kwa Adam na kumpa nafsi hai na akamweka bustanini(Eden) na mambo kadhaa mbele ambayo ukisoma zaidi utaona zaidi.
Kwa hiyo kutokana na Biblia utakuta kuna uumbaji wa nyakati mbili tofauti. Na kwakuwa wale wa kwanza waliambiwa wakazaliane nadhani Kaini alipata mke huko
 
Mbona hili swali Lina majibu rahisi tu kutoka kwenye biblia? Soma biblia Kuna mifano mingi kuonesha idadi ya watu.
Mfano Yesu alipolisha mikate watu elfu tano, biblia inasema watu elfu tano kuacha wanawake na watoto. Kumbe yawezekana wanawake na watoto walikuwa wengi kuliko " WATU ELFU TANO".
Maana Yake wanawake walikuwa hawahesabiwi ndo maana hatujui huko Kaini alikooa kulikuwa na wanawake wangapi.
Kwann wanawake hawakua wakihesabiwa?
 
Natumai ni mzima na unaendelea vyema na majukumu, Kama unaumwa utapona kwa uwezo wa muumba wako.

HOJA YA MSINGI:

“Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, na baadae Seth, Je, mke wa Kaini alitoka wapi?”
Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa, na kwenye hii mada tutajibu hili swali linalo wachanga sana watu.
MUKTASARI:
Katika Mwanzo sura ya 3 na ya 4 tunapata habari zifuatazo:

(1) Hawa alikuwa “mama ya kila mtu anayeishi.”

(2) Muda fulani ulipita kuanzia wakati Kaini alipozaliwa mpaka wakati alipotoa dhabihu ambayo ilikataliwa na Mungu.

(3) Baada ya kufukuzwa na kuwa “mwenye kutanga-tanga na mkimbizi,” Kaini alikuwa na wasiwasi kwamba huenda ‘mtu yeyote akakutana naye’ na kujaribu kumuua. [Angalia hoja hapa "Kaini anaogopa kuuwawa na watu wengine"] Hapa panaonyesha kuwa Kaini alikuwa na ndugu wengine.

(4) Mungu aliweka ishara ya kumlinda Kaini, jambo lililoonyesha kwamba ndugu au dada zake, au watu wengine wa ukoo wangejaribu kumuua. Kumbe basi Kaini alikuwa na ndugu wengine zaidi ya Abel na Seth.

(5) “Baadaye” Kaini alilala na mke wake “katika nchi ya Ukimbizi.”—Mwanzo 3:20; 4:3, 12, 14-17.

Naomba majibu tafadhari.
Kaini alipata Mke kutoka kwenye viumbe waliokuwepo waliitwa Wanefli , walikuwa na maumbo makubwaila walifanana nawanadam,Kabla ya uumbaji wabinadamu walikuwepo viumbe wengine,

(5) “Baadaye” Kkaini alilala na mke wake “katika nchi ya Ukimbizi.”—Mwanzo 3:20; 4:3, 12, 14-17.

Naomba majibu tafadhari.
Kabla ya uumbaji was mwanadamu walikwepo viumbe wengine waliitwa wanefli, walikuwa watu wenye nguvu sana, Hivyo kaini alijipatia Mke kutoka kwa viumbe hao,soma kitabu cha Mwanz 6:1 na kuendelea utaelewa kuwa kulikuwa na viumbe wengine,
 
Natumai ni mzima na unaendelea vyema na majukumu, Kama unaumwa utapona kwa uwezo wa muumba wako.

HOJA YA MSINGI:

“Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, na baadae Seth, Je, mke wa Kaini alitoka wapi?”
Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa, na kwenye hii mada tutajibu hili swali linalo wachanga sana watu.
MUKTASARI:
Katika Mwanzo sura ya 3 na ya 4 tunapata habari zifuatazo:

(1) Hawa alikuwa “mama ya kila mtu anayeishi.”

(2) Muda fulani ulipita kuanzia wakati Kaini alipozaliwa mpaka wakati alipotoa dhabihu ambayo ilikataliwa na Mungu.

(3) Baada ya kufukuzwa na kuwa “mwenye kutanga-tanga na mkimbizi,” Kaini alikuwa na wasiwasi kwamba huenda ‘mtu yeyote akakutana naye’ na kujaribu kumuua. [Angalia hoja hapa "Kaini anaogopa kuuwawa na watu wengine"] Hapa panaonyesha kuwa Kaini alikuwa na ndugu wengine.

(4) Mungu aliweka ishara ya kumlinda Kaini, jambo lililoonyesha kwamba ndugu au dada zake, au watu wengine wa ukoo wangejaribu kumuua. Kumbe basi Kaini alikuwa na ndugu wengine zaidi ya Abel na Seth.

(5) “Baadaye” Kaini alilala na mke wake “katika nchi ya Ukimbizi.”—Mwanzo 3:20; 4:3, 12, 14-17.

Naomba majibu tafadhari.
Huyu bro alinoboa tuu pale alipo muua nduguye baada ya kupekelewa kwa sadaka yake.Huwa simpendagi huyu,ndiyo chanzo cha maovu ya mauaji labda
 
Kimapokeo, Wayahudi wakati wa Adamu na Hawa hawakuwah3sabu watu wengine wasio Wayahudi kama watu.

Hivyo, kulikuwa na watu wanaishi kabla ya Adam na Hawa na hawa watu waliishi pembeni ya famikia hii.

Hivyo, si ajabu kwambq Kaini alienda huko na kupata mke.

Habari ya kwamba Adam na Hawa ni hekaya ya mwanzo wa Wayahudi tu. Si fact.

Kuna watu waliiishi Africa maelfu na maelfu ya miaka kabla ya wakati unaosemwa Adam na Hawa waliishi. Hili limethibitishwa.
Weka uthibitisho mkuu
 
Kaini alipata Mke kutoka kwenye viumbe waliokuwepo waliitwa Wanefli , walikuwa na maumbo makubwaila walifanana nawanadam,Kabla ya uumbaji wabinadamu walikuwepo viumbe wengine,
Mkuu kitabu gani hicho?
 
Back
Top Bottom