Kaini alipata wapi mke wake?

Kaini alipata wapi mke wake?

Inaweza kua mkuu ila maandiko hayajaelezea
Ndio.
Ukisoma biblia utanote kitu kimoja, watoto walitajwa wa kiume tu, watoto wa kike hawakutajwa.
Hawa alipata watoto waume kwa wake, lakini watoto wake waliotajwa kwa majina ni watoto wa kiume tu ambao ni WATATU.
 
Nahisi Ni kwa sababu biblia inataja vizazi vya watu kwa kupitia watoto wa kiume mfano Ni :Adam kumzaa kain,Abel na Seth so hii haimaanishi kuwa hao waliotajwa ndio peke yao tu walizaliwa na ADAM NA HAWA ukute Kain hata hakuwa wakwanza kuzaliwa kwa Hawa Bali waeza kuta walizaliwa wa kike wengi alafu yeye Ndo akafatia na kwa kuwa biblia kuhesabu watu ilikuwa inahesabu wanaume tu peke yao labda ndio maana
Id yako nimeipenda
 
Ndio.
Ukisoma biblia utanote kitu kimoja, watoto walitajwa wa kiume tu, watoto wa kike hakutajwa.
Hawa alipata watoto waume kwa wake, lakini watoto wake waliotajwa kwa majina ni watoto wa kiume tu ambao ni WATATU.
Sawa mkuu
 
Alimuoa dada yake kwa kipindi hicho ilikuwa halali tu ndiyo maana hata Ibrahimu naye alimuoa dafa yake pia, Yakobo na Isaka walioa ndugu zako simply kwa sababu popn haikuwa kubwa sana na wengi walitoka kwa Adam baada ya jamii kupanuka na watu kuongezeka ndiyo hilo Mungu akalikataza
 
Kama baadae Mungu aliikataza, vipi kuhusu kizazi kilichotokana na hao ndugu wa Tumbo moja kuzaliana? Hakikiharibu vizazi vilivyofuata mpaka kufikia tulipo sisi?

By the way kuna maandiko yanaeleza kwanini alikataza baadae?
 
Ukipata jibu nitag mkuu maana calculation zangu zimegoma
Alioa toka kwa mijitu au wanefilo au nephilim kwa kimombo kitabu cha mwanzo 6: 4
The Nephilim were on the earth in those days—and also afterward—when the sons of God went to the daughters of humans and had children by them. Hii inaonyesha uongo wa biblia na quran kuwa Adam ndiye alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa.
 
😳 😳 😳
 
Ukisoma "The book of Adam and Eve" (Hakipo kwenye biblia ya kawaida),Utakuta mistari hii hapa chini.

2 And thereafter, Cain slew Abel, but Adam was then one hundred and thirty years old, but Abel was slain when he was one hundred and twenty-two years. And thereafter Adam knew his wife and he begat a son and called his name Seth.

xxiv 1 And Adam said to Eve, 'Behold, I have begotten a son, in place of Abel, whom Cain slew.'

2 And after Adam had begotten Seth, he lived eight hundred years and begat thirty sons and thirty daughters; in all sixty-three children. And they were increased over the face of the earth in their nations.
Hapo utaona Adam alizaa watoto 63 jumla wakike 30 na wakiume 33,walioana wao kwa kwao na kuzaliana.So kuna uwezekano mkubwa pia Cain alimuoa moja ya dada zake pia.
 
Back
Top Bottom