Kaini alipata wapi mke wake?

Kaini alipata wapi mke wake?

Unataka kusema adam pamoja na kuwa na mke aliyepewa na bwana bado alilala na binti zake? Maana fumbo moja kutoa watoto63 si mchezo
 
Mbona hili swali Lina majibu rahisi tu kutoka kwenye biblia? Soma biblia Kuna mifano mingi kuonesha idadi ya watu.
Mfano Yesu alipolisha mikate watu elfu tano, biblia inasema watu elfu tano kuacha wanawake na watoto. Kumbe yawezekana wanawake na watoto walikuwa wengi kuliko " WATU ELFU TANO".
Maana Yake wanawake walikuwa hawahesabiwi ndo maana hatujui huko Kaini alikooa kulikuwa na wanawake wangapi.
Ambao hao wanawake walikuwa wa uzao upi? Na nikukumbushe mungu alimwekea alama kaini ili kila atakapo enda mataifa wamjue na wasichangamane mae
 
Ndio kwa sababu mimi ni mtoto wa ADAM.
binadamu ni neno la kiarabu.
BIN-ADAM
YAANI MTOTO WA ADAM.
Kwa hyo kila binadamu ni mtoto wa adam.
Wht happened then tukawa hivi tulivyo wakati kwa asili tunaamini ya kwamba afamu hakuwa kama sisi.

Bustani ya edeni ilikuwa wapi?
 
Adam aliumbwa kutokana na udongo.
Baadae akapuliziwa roho.baada ya hapo akaumbwa hawa kwa ubavu wa kushoto wa adam.wakakaa sana peponi.mpaka shetani alipokuja kumdanganya hawa ili amshawishi adam wale tunda.ndipo mungu akawahukumu kwa kuwashusha hapa duniani kuishi.
Hapo ndipo walipoanza kuzaliana.
Kwa chimbuko la binadamu wote ni adam na hawa..
Eden ilikuwa peponi

Eden ilikua pepon?? Si kweli
 
Haya jibu niliyouliza sasa kwenye komenti yangu ilikuwaje weae uwe na nyewel kipilipili huku wengine wakiwa vile walivyo ngozi n.k
 
NI mungu mwenyewe.
Ebu soma aya ya 13.
Haya jibu niliyouliza sasa kwenye komenti yangu ilikuwaje weae uwe na nyewel kipilipili huku wengine wakiwa vile walivyo ngozi n.k
Screenshot_20210325-100353.jpg
 
Ni kitu gani kilisababisha ghafla umri wa binadamu ukapungua?
 
UNCLE USIJARIBU KUFIKIRI KUOA DADA YAKO AU NDUGU WA DAMU UTAJILETEA MATATIZO KIBAO KWANI NAONA UNATAFUTA UHALALI WA KUMWEKA NDUGU KINYUMBA UKIENDELEZA UBAZAZI NA USHETWANI ULIOKUJAA KATIKA FIKRA ZAKO. KWANI SIONI MANTIKI YA SWALI LAKO.Kesho ubwabwa utakuwepo kwa mtaalamu wa kucheza na koboko.
 
Nadhani ni dhambi
Dhambi ni nini kwa lugha rahisi kabisa yenye mantiki? Dhambi kiasi mpaka hata mtu anafikisha umri wa miaka 60 kiuno kama kimwekwa super glue, miguu utazani imegongwa na nyundo? Enzi za Nabii Ibrahimu naona mzee ana miaka 100+ na anapiga mzigo kama 20s fulani hivi.
 
Back
Top Bottom