Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,933
- 13,944
Ukikisoma naelezea yote hayoMmh huu sasa utata Eva alimzaa huyo Kaini na nani?
Ukikisoma naelezea yote hayoMmh huu sasa utata Eva alimzaa huyo Kaini na nani?
Adamu aliishi miaka 900 na ushee. Katika muda huo alizaa watoto kibao. Familia ya Yakobo ilikaa Misri miaka 400 na wakatoka watu 2m.
Sasa fikiria Kaini labda alioa miaka 500 baada ya kumuua ndugu yake, si alikuta dunia imejaa vitukuu na vituu vya Adamu. Vingine ni vidangaji havijali kuwa wewe ni Kaini au umevipita miaka 460.
Mmmmh! Bado kichwa changu kinapiga hesabuKwa nini isiwezekane?,Unaposema wa kawaida unalingalisha na wanawake hawa wa siku hizi??.Mzee bibi yangu alizaa watoto 17 tena hakuna mapacha hata mmoja,na aliishai miaka 87.Sasa Eva aishi miaka zaidi ya 800 (sababu inaokenana Adam ndio alianza kufa) ashindwe kuzaa watoto 63??..
Wa siku hizi maana alizaa mpaka miaka ya 2000.Mkuu mwanamke wa zamani au hawa wa sikuizi?
Ave alipewa mimba na kiumbe kingine tofauti na AdamKwanini sio mtoto wa Adam
Ngoja nikitafte nikuwekeeMkuu niwekee maandishi na mimi nisome kidogo
Na je kama sisi ni uzao wa Adam na Hawa imekuaje Kuna wazungu, wachina, watu weusi na binadamu wengine wa aina mbali mbali. Kwanini hatukufanana wote?Wht happened then tukawa hivi tulivyo wakati kwa asili tunaamini ya kwamba afamu hakuwa kama sisi.
Bustani ya edeni ilikuwa wapi?
Na je kama sisi ni uzao wa Adam na Hawa imekuaje Kuna wazungu, wachina, watu weusi na binadamu wengine wa aina mbali mbali. Kwanini hatukufanana wote?Adam aliumbwa kutokana na udongo.
Baadae akapuliziwa roho.baada ya hapo akaumbwa hawa kwa ubavu wa kushoto wa adam.wakakaa sana peponi.mpaka shetani alipokuja kumdanganya hawa ili amshawishi adam wale tunda.ndipo mungu akawahukumu kwa kuwashusha hapa duniani kuishi.
Hapo ndipo walipoanza kuzaliana.
Kwa chimbuko la binadamu wote ni adam na hawa..
Eden ilikuwa peponi
Nimekitafta hicho kitabu nimekikosa ningekipata ningekutumiaSawa mkuu
Mmh hicho kitabu cha uchochoroni sikiamini.Ave alipewa mimba na kiumbe kingine tofauti na Adam
Ndio maana hakikuwekwa kwenye bibliaMmh hicho kitabu cha uchochoroni sikiamini.
Akikujibu nitagNa je kama sisi ni uzao wa Adam na Hawa imekuaje Kuna wazungu, wachina, watu weusi na binadamu wengine wa aina mbali mbali. Kwanini hatukufanana wote?
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app