Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,658
- 7,287
Hicho kichwa chako kina upungufu wa akili, huwezi kufananisha michembe na biliani.🤣🤣🤣Sukuma gang mmepigwa na kitu kizito mmekimbilia kujisifia na sifa zisizokuwepo yaani kikahama ukifananishe na gunjombe aah wee labda huijui njombe...hakuna asieelewa business na development kwenye nchi hii inashikwa na wachaga pamoja na wakinga plus wabena