We vipi Moshi ni mji wa Zamani sana ulianza kuwa planned toka Wajarumani.Miji kama Moshi,Tanga Dsm ni mikongwe sana.Haipaswi kushindanishwa na Njombe😂😂Point dhaifu sana,
Moshi kuna watu wengi? au hautembei Boss

Kwa mwenye akili ataona kua CBD ya kahama ina eneo dogo sana ambalo ni planned tofauti na Njombe ambayo ina block nyingi sana na nje na CBD kuna maeneo mengi planned kuliko kahama.Hivyo ili upate eka moja kahama sio kazi rahisi maana utahitaji kuvunja vunja vijumba vya watu tofauti na Njombe ambayo tayari ni planned na pia ukiwa na CBD ndogo ambayo ni planned lazima watu watagombania hapo.Now tell how many Blocks in Kahama CBD viz-a-viz Njombe CBD.Kahama is ahead of Njombe,
Hapa ni Town Council CBD kabla ya kuwa Municipal Counil thamani ya juu ya aridhi ni hivi. Ikijakutoka land valuation nyingine, Kahama itakuwa sehemu moja na Ilemela, Morogoro
View attachment 2180910
Outside CBD ya Kahama ni CBD ya Njombe, logically watu wengi Kahama wanaoshi pembezoni mwa mji wanauwezo wa kifedha kumiliki aridhi katikati ya mji wa Njombe bila shida yoyote.
Njombe Town Council CBD / Outsise CBD
View attachment 2180921
Outside CBD ya Kahama ni CBD ya Njombe, wacheni kulinganisha dhahabu na parachichi
View attachment 2180923
Nadhani hii itakuwa comment yangu ya mwisho kwenye uzi huu, nimejifunza mengi kuhusu Njombe na watu wake. Zaidi nitaendelea kuwa msomaji tu. Asanteni
Watu wanjombe hawana tofauti na waha wa kigoma kwenye ubishi alafu wanatake advantage ya kulinganisha miji yao hafifu na miji mikubwa ili wapate umaarufu.Kahama is ahead of Njombe,
Hapa ni Town Council CBD kabla ya kuwa Municipal Counil thamani ya juu ya aridhi ni hivi. Ikijakutoka land valuation nyingine, Kahama itakuwa sehemu moja na Ilemela, Morogoro
View attachment 2180910
Outside CBD ya Kahama ni CBD ya Njombe, logically watu wengi Kahama wanaoshi pembezoni mwa mji wanauwezo wa kifedha kumiliki aridhi katikati ya mji wa Njombe bila shida yoyote.
Njombe Town Council CBD / Outsise CBD
View attachment 2180921
Outside CBD ya Kahama ni CBD ya Njombe, wacheni kulinganisha dhahabu na parachichi
View attachment 2180923
Nadhani hii itakuwa comment yangu ya mwisho kwenye uzi huu, nimejifunza mengi kuhusu Njombe na watu wake. Zaidi nitaendelea kuwa msomaji tu. Asanteni
Miji hafifu unaijua wewe.Watu wanjombe hawana tofauti na waha wa kigoma kwenye ubishi alafu wanatake advantage ya kulinganisha miji yao hafifu na miji mikubwa ili wapate umaarufu.
Njombe ni mmoja wa mfano wa miji hafifu sana Tanzania.Miji hafifu unaijua wewe.
Sababu ya mashamba kuwa valued more ni hii hapa 👇Kama umegundua hapo Mashamba yana value kubwa kuliko viwanja sababu ni moja tu Njombe ni agro-investment zone.Ndio maana ni kawaida kukutana structure za maana nje ya mji kwa sababu watu wanabana ardhi.Ndio maana njombe mjini inaeneo kubwa sana ambalo ndani kuna plantations kama vile avocado,tea,Flower and tree plantation.
Dizaini magulio kama Kahama 😆😆😆😆Miji hafifu unaijua wewe.
Huku mambo yanazid kunoga
Hayawezi kunoga kuzidi hapa 👇Huku mambo yanazid kunogaView attachment 2192342View attachment 2192343
Mabanda ya mbwa 😂😂😂😂Kata ya ulowa wilayani kahama
View attachment 2195960