Kahama VS Njombe/Mafinga

KAHAMA CBD vs NJOMBE CBD

( Land Value as per Ministry of Lands )

View attachment 2180101

View attachment 2180103
Halafu hii umeweka ni ya 2016, na mzigo wa 2021 ni aibu. Kahama value imepanda sana

Kahama CBD 340,000/- per sqm.
Njombe CBD 63,000/- per sqm
Makambako CBD 56,000/- per sqm
Nyamagana CBD 1.5m per sqm
Ilemela 360,000/- per sqm
Mbeya CBD 207,000/-
Arusha CBD 1.28m per sqm
Tunduma CBD 21,000/- per sqm
Mafinga CBD 19,500/- per sqm
Kagongwa Kahama 18,500 per sqm
Geita CBD 45,000/- per sqm
Dodoma 1.2m per sqm
Morogoro CBD 400,000/- per sqm
 
I 😝😝😝😝😝😂😂😂 Iringa town CBD 👇

Screenshot_20220406-152530.png
 
Halafu hii umeweka ni ya 2016, na mzigo wa 2021 ni aibu. Kahama value imepanda sana

Kahama CBD 340,000/- per sqm.
Njombe CBD 63,000/- per sqm
Makambako CBD 56,000/- per sqm
Nyamagana CBD 1.5m per sqm
Ilemela 360,000/- per sqm
Mbeya CBD 207,000/-
Arusha CBD 1.28m per sqm
Tunduma CBD 21,000/- per sqm
Mafinga CBD 19,500/- per sqm
Kagongwa Kahama 18,500 per sqm
Geita CBD 45,000/- per sqm
Dodoma 1.2m per sqm
Morogoro CBD 400,000/- per sqm
Hi mpya unaweza kuwa na Link yake niipitie maana naitafuta sana.
 
Matusi waachie watoto huko Facebook hapa JF MaGT tunataka hoja za haja. Haya sikiliza....Njombe inapokea biashara kati ya miji yenye biashara kubwa ya Iringa Mjini,Mafinga,Makambako,Mbeya Mjini na Songea. Njombe inaunganishwa na usafiri wa barabara,treni ya TAZARA na Anga.

Kuna mabasi zaidi ya matano yanayofanya safari zake kati ya Njombe Mjini na Dar ukiachilia yale yanayopita jirani na mji huo kuelekea Mbeya,Songwe na Rukwa.

Huwezi ukaufananisha Njombe na Kahama Kahama inasubiri sana. Hadi mwaka jana Halmashauri ya Njombe ilikuwa miongoni mwa Halmashauri tatu kinara kwa ukusanyaji mapato ikikusanya more than 2.2 billion kwa 2018 pekee...Kahama ilitupwa mbali sanaa...mapato kwenye Halmashauri husika huonyesha vibrancy ya uchumi...sasa wewe unakuja na matusi humu kwa great thinkers unaleta mambo ya Facebook kutukanana...leta hoja nikuone sio kuleta story maandazi kwamba Kahama iko mbele.
Samahani mkuu, ivi njombe kuna usafiri upi wa anga? kwa wiki zinarua ndege ngapi Njombe?
 
Halafu hii umeweka ni ya 2016, na mzigo wa 2021 ni aibu. Kahama value imepanda sana

Kahama CBD 340,000/- per sqm.
Njombe CBD 63,000/- per sqm
Makambako CBD 56,000/- per sqm
Nyamagana CBD 1.5m per sqm
Ilemela 360,000/- per sqm
Mbeya CBD 207,000/-
Arusha CBD 1.28m per sqm
Tunduma CBD 21,000/- per sqm
Mafinga CBD 19,500/- per sqm
Kagongwa Kahama 18,500 per sqm
Geita CBD 45,000/- per sqm
Dodoma 1.2m per sqm
Morogoro CBD 400,000/- per sqm
Mkuu Swai, kumbe thamani ya Ilemela inazidiwa na morogoro, ila tukiendelea sisi wana Ilemela baada ya miaka miwili Morogoro tutaipita kwa thamani ya ardhi, pongezi sana kwa Kahama anajitaidi sana.
 
Mkuu Swai, kumbe thamani ya Ilemela inazidiwa na morogoro, ila tukiendelea sisi wana Ilemela baada ya miaka miwili Morogoro tutaipita kwa thamani ya ardhi, pongezi sana kwa Kahama anajitaidi sana.
Si unajua Moro ipo katikati ya Mji Mkuu na jiji la kibiashara na pia ni Makao makuu ya Mkoa wakati Ilemela ni Manispaa ndani ya jiji tu.
 
Mkuu Swai, kumbe thamani ya Ilemela inazidiwa na morogoro, ila tukiendelea sisi wana Ilemela baada ya miaka miwili Morogoro tutaipita kwa thamani ya ardhi, pongezi sana kwa Kahama anajitaidi san

Hiyo sio land value ni total area
 
KAHAMA CBD vs NJOMBE CBD

( Land Value as per Ministry of Lands )

View attachment 2180101

View attachment 2180103
Kama umegundua hapo Mashamba yana value kubwa kuliko viwanja sababu ni moja tu Njombe ni agro-investment zone.Ndio maana ni kawaida kukutana structure za maana nje ya mji kwa sababu watu wanabana ardhi.Ndio maana njombe mjini inaeneo kubwa sana ambalo ndani kuna plantations kama vile avocado,tea,Flower and tree plantation.
 
Kama umegundua hapo Mashamba yana value kubwa kuliko viwanja sababu ni moja tu Njombe ni agro-investment zone.Ndio maana ni kawaida kukutana structure za maana nje ya mji kwa sababu watu wanabana ardhi.Ndio maana njombe mjini inaeneo kubwa sana ambalo ndani kubwa plantations kama vile avocado,tea,Flower and tree plantation.
Tunafanya comparison ya CBD unaleta mashamba,????

Kweli udumavu tatizo hapo.
 
Kama umegundua hapo Mashamba yana value kubwa kuliko viwanja sababu ni moja tu Njombe ni agro-investment zone.Ndio maana ni kawaida kukutana structure za maana nje ya mji kwa sababu watu wanabana ardhi.Ndio maana njombe mjini inaeneo kubwa sana ambalo ndani kubwa plantations kama vile avocado,tea,Flower and tree plantation.
Mashambani yanauzwa kwa acre wakati ardhi nyingine zinauzwa kwa square meter.

Maana yake, mtu akiwa na Kiwanja Chenye ukubwa wa meta 20 upana na urefu 20 ukizidisha Ni sqm 400.

Kama sqm moja Ni 10,000 kupata thamani Happ chukua 10,000 Mara 400 ambayo Ni Milioni 4 ( 4,000,000 ).

Kwahiyo acre moja ya shamba haiwezi kuwa na thamani kubwa kuliko Kiwanja kinachounganisha kwa sqm
 
Kahama sio level za Njombe, tunaongelea CBD za miji yeye anaongelea mashamba. Kweli Njombe ni mashambani.
 
Kuna factor nyingi sana zinatumika kupandisha value ya ardhi ya eneo husika moja ya factor ni market demand ambayo huchagizwa na population kwa kahama hilo hatuna ubishi nalo maana usukumani familia ya watu wachache ni 8,pili kipato cha wakazi na taasisi mbalimbali kuhitaji ardhi kwa majenzi mbalix2,sababu nyingine ni land scarcity,pia ukitaka kuraise government revenue na affordability yake, Market demand, accessibility(road,health,sanitation.Njombe ni organised kuliko kahama lakini interns of population hatuwawezi wasukuma na pia Njombe watu wake tunapambana mno kiasi watu wake kuhamia miji mingine kukuza mtaji.
 
Point dhaifu sana,

Moshi kuna watu wengi? au hautembei Boss
 
Back
Top Bottom