Mwajombe jr
Member
- May 20, 2021
- 84
- 57
Ayoo matukio yapoo kila mjii wezi wa maji na umeme wapoo wakutoshaaAcheni wiziView attachment 2154868
Ayoo matukio yapoo kila mjii wezi wa maji na umeme wapoo wakutoshaaAcheni wiziView attachment 2154868
Mji ni lazima uwe na purukushani nyingi..ndio unanoga..sasa mji gani sa2 watu wamelala..manake hapo hakuna harakati za pesa ni kijijini tu.
Karibu kahama.
#MaendeleoHayanaChama
View attachment 2157695View attachment 2157697View attachment 2157698
Project za barabara za lami zinaendelea kushika kasi kwenye mitaa mbalimbali ya makambako
Look at how Lake zone is poorer when compared to Njombe 😬😬Lol, yaani role model wenu Msamvu??????? tembeeni mpate exposure
Town Ni town tu miundo mbinu ya barabara Ina matter Sana wacha project ziendelee tutaelewana tuHizo nyumba za makazi ni kawaida sana, kwa sasa miji mingi iko na makazi mazuri. Nikichukulia ukanda huo Ilula na Mtua, Ifunda, Tosa, Mbalamaziwa, Tanangozi, Nyororo, Igawa, Chimala, Igurusi nk kote huko kumejengwa nyumba nzuri tu, kinachoweza kutofautisha ni labda ukubwa wa jiografia tu ya mji, kwa hiyo sioni kama kuna cha ajabu( nimetolea mifano ya ukanda huo tu kwa ajili ya Rejea@ Mdatchu)
Na Jana wamebeba tuzo tena makuwasaAyoo matukio yapoo kila mjii wezi wa maji na umeme wapoo wakutoshaa
Hiyo hapana wizi ni ishara ya akili zilizolala japo hakuna mji Tanzania usio na vijana wenye za tabia.In short Africa nzima ina vibaka japo ni aibuHiyo Ni hali ya kawaida ukiona mji wako hauna vitendo hivyo ujue mji huo umelala sana
Mkuu kuna vijiji ludewa viko standard sana,Nimeenda January nilishangazwa na baadhi vijiji viko vizuri sana nyumba Bora barabara nzuri japo ni changalaweTatizo liko Wilaya za makete na Ludewa na sababu zipo hasa hasa ilikuwa ni miundombinu duninya barabara kutawanya vyakula vinavyotoka Wilaya nyingine.
Moshi ni mji ambao ilifika hiyo mida ya saa mbili kuna kuwa kutulivu sana kutokana hali ya ubaridi vipi nao umezidiwa na kahama? Moja ya sababu ambayo kweli hata Mimi wa Njombe ningependa kuiweka wazi ni ugiza wa Njombe,yes kuna taa za barabarani lakini zile taa ni substandard na hazikuwekwa na watu makini hazina mwanga wa kutosha wakati kuna taa LED za solar zilo vizri in the same Solar Capacity.Mji ni lazima uwe na purukushani nyingi..ndio unanoga..sasa mji gani sa2 watu wamelala..manake hapo hakuna harakati za pesa ni kijijini tu.
Karibu kahama.
#MaendeleoHayanaChama