Matusi waachie watoto huko Facebook hapa JF MaGT tunataka hoja za haja. Haya sikiliza....Njombe inapokea biashara kati ya miji yenye biashara kubwa ya Iringa Mjini,Mafinga,Makambako,Mbeya Mjini na Songea. Njombe inaunganishwa na usafiri wa barabara,treni ya TAZARA na Anga.
Kuna mabasi zaidi ya matano yanayofanya safari zake kati ya Njombe Mjini na Dar ukiachilia yale yanayopita jirani na mji huo kuelekea Mbeya,Songwe na Rukwa.
Huwezi ukaufananisha Njombe na Kahama Kahama inasubiri sana. Hadi mwaka jana Halmashauri ya Njombe ilikuwa miongoni mwa Halmashauri tatu kinara kwa ukusanyaji mapato ikikusanya more than 2.2 billion kwa 2018 pekee...Kahama ilitupwa mbali sanaa...mapato kwenye Halmashauri husika huonyesha vibrancy ya uchumi...sasa wewe unakuja na matusi humu kwa great thinkers unaleta mambo ya Facebook kutukanana...leta hoja nikuone sio kuleta story maandazi kwamba Kahama iko mbele.