Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Tukifika huku Kwa Mexico hakuna Kanda itakaribia kwetu japo wao mexico Wana bahati ya kuwa jirani na Soko kubwa la Marekani.

 
Acha wivu Bwashee ,Mwanza mshapigwa kamba [emoji16][emoji16].

Nani apeleke gari yake ya maana ikachakae huko Kwa washamba Mwanza? [emoji125][emoji125]
Kapima upepo wa katarama na allys kaona Hana uwezo ..huku hayaji magongo wazi ...
20230404_223327.jpg
20230404_223102.jpg
 
Acha wivu Bwashee ,Mwanza mshapigwa kamba [emoji16][emoji16].

Nani apeleke gari yake ya maana ikachakae huko Kwa washamba Mwanza? [emoji125][emoji125]
SAULI ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20230404_224116.jpg
20230404_224246.jpg
 
Acha wivu Bwashee ,Mwanza mshapigwa kamba 😁😁.

Nani apeleke gari yake ya maana ikachakae huko Kwa washamba Mwanza? 🏃🏃
Mtanzania mwenye akili timamu kutoka mikoa isiyo ya kanda ya ziwa wala kusini akipewa nafasi ya kwenda kuishi Mwanza au Mbeya unadhani atachagua wapi?
 
Back
Top Bottom