Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Duuh!🤭🤗🤗🤗🤗 mimi sijasema kuwa hapa ni mbeya city
1787241079081.jpg
 
Makambako TC,hivyo Vijiji vyenu mnaviita center 😂😂😂😂😂
Next week nakuletea vitu vya MASUMBWE nazani utaacha kuichukulia poa GEITA, ukiachana na GEITA municipal, Kahama municipal na Katoro mji, mji wa MASUMBWE ndio unafuata kwa fujo za Pesa (nguvu ya dhahabu)

MASUMBWE ndio mji mkuu wa biashara wilaya ya mbwogwe miaka minne nyuma headquarters za halmashauri ya wilaya ya mbwogwe zilikuwa MASUMBWE kabla ya kuhamishiwa Kasosobe ambako ndio katikati ya wilaya ya mbwogwe geographically
 
Next week nakuletea vitu vya MASUMBWE nazani utaacha kuichukulia poa GEITA, ukiachana na GEITA municipal, Kahama municipal na Katoro mji, mji wa MASUMBWE ndio unafuata kwa fujo za Pesa (nguvu ya dhahabu)

MASUMBWE ndio mji mkuu wa biashara wilaya ya mbwogwe miaka minne nyuma headquarters za halmashauri ya wilaya ya mbwogwe zilikuwa MASUMBWE kabla ya kuhamishiwa Kasosobe ambako ndio katikati ya wilaya ya mbwogwe geographicall
Usinichafilie uzi
 
Back
Top Bottom