The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Utapiamlo huwezi ku reason zaidi ya ku rely kwenye hizo taarifa za per capitalMaskini wewe unaongea nini


Utapiamlo huwezi ku reason zaidi ya ku rely kwenye hizo taarifa za per capitalMaskini wewe unaongea nini


Mpaka mfike hapa sio karne hii
Hyo Haina abiria ipo kama mtumbwi tyu cheki meli zenye Hela View attachment 2575812
🤣🤣🤣🤣🤣 Maskini sana nyie watu ndio maana mnatafutiza vipicha picha kujifariji 😁😁
Dom imeanza lini kujengwa na Serikali acha kujitetea.Kama hiyo dodoma inkiwango kikubwa cha umaskini na kila siku inajengwa na serikali kweli nimeamni majengo ya serikali hayana tija kiuchumi😂😂😂
Fala sana wewe😂😂😂😂Maskini wewe unaongea nini
Kila siku naona ndio inazidi kudidimia tofauti na hizo hiO za zilipendwa, hata hivyo dodoma ni kisima cha omba omba wakina matonya.Dom imeanza lini kujengwa na Serikali acha kujitetea.
Impacts yake itaonekana baada ya miaka 10
Angalia watu wa arusha kwanza hapa then tuendelee na umaskini wa dodoma😀😀😀😀Dom imeanza lini kujengwa na Serikali acha kujitetea.
Impacts yake itaonekana baada ya miaka 10
Hyo mwehu atapita na miwani black asione maana ana wivu na mwanza lakin hatujali Wala tunapiga hatua mbeleAngalia watu wa arusha kwanza hapa then tuendelee na umaskini wa dodoma😀😀😀😀
View attachment 2575846
Sisi tunagonga nyundo pale panapouma.Hyo mwehu atapita na miwani black asione maana ana wivu na mwanza lakin hatujali Wala tunapiga hatua mbele
Nyie Bado sana mkuu.Jina kubwa hela hamna 😂😂😂😂Leta picha za wenye utapiamlo wa kusini![]()
🤣🤣 Kama hapa 👇Sisi tunagonga nyundo pale panapouma.
Ndio unavyojifariji Kwa huyo ngumbaru wa Mwanza anaejifanya wa Arusha?Angalia watu wa arusha kwanza hapa then tuendelee na umaskini wa dodoma😀😀😀😀
View attachment 2575846
Flyover ya chupi yakoNdio unavyojifariji Kwa huyo ngumbaru wa Mwanza anaejifanya wa Arusha?
Flyover Mbeya View attachment 2576071



