Plate no D ndo vitu vipya?? Hata kama una mahaba na kwenu ila uwe serious basiUnajua Mwekezaji lakini? Ameshusha vitu Vipya maana si unajua kwetu Huwa hatupati mabati na mitumbwi kama ya huko kwenu View attachment 2573758View attachment 2573759View attachment 2573760View attachment 2573761View attachment 2573763View attachment 2573765View attachment 2573766View attachment 2573767View attachment 2573768View attachment 2573758View attachment 2573759View attachment 2573760View attachment 2573761View attachment 2573763View attachment 2573765View attachment 2573766View attachment 2573767View attachment 2573768
Mkuu, sasa hivi Manispaa ya Bukoba imeongezewa eneo Kata za Maruku, Kanyangereko, Katoma, Karabagaine na eneo dogo la Kemondo zimerudi ndani ya Manispaa na siyo tena Halmashauri ya Bukoba Vijijini.Tatizo moja la mji wa Bukoba limeanza kufanyiwa kazi...ujenzi wa stendi umeanza upya baada ya kukwama za zaidi 15years...bado soko sasa...sijui mtaisema Bukoba kwa lipi sasa
Nimependa kutumia mkandarasi wa hapo hapo Bukoba...
Karagwe kagera...View attachment 2574618View attachment 2574620
Plate no D ndo vitu vipya?? Hata kama una mahaba na kwenu ila uwe serious basi
Hizo ndege itakua enzi zile mjomba Bado yupo.
Jeuri ya Hela Kanda ya ziwaHizo ndege itakua enzi zile mjomba Bado yupo.
Hapa wapJeuri ya Hela Kanda ya ziwaView attachment 2575079
Bwiru ziwaniHapa wap
🤣🤣🤣🤣🤣 Maskini sana nyie watu ndio maana mnatafutiza vipicha picha kujifariji 😁😁
Leta picha za wenye utapiamlo wa kusiniMaskini sana nyie watu ndio maana mnatafutiza vipicha picha kujifariji


Maskini wewe unaongea niniLeta picha za wenye utapiamlo wa kusini![]()