Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,976
- 14,396
Kwanini mbeya na sio mwanza?Mbeya
Kwanini mbeya na sio mwanza?Mbeya
Mwanza na Kansa hizo na umaskini na mabanda ya nguruwe unaishi huko?Kwanini mbeya na sio mwanza?
Usimfananishe mwekezaji na vitu vya ajabu ajabu ,hiyo bus unaweza Kuta ni ya Masasi ,
Kumbe bado haujabadilika una akili zilezile. Uzi uanzishe mwenyewe bado unajichagulia na side ya kutetea kwa miaka yote hii.Mwanza na Kansa hizo na umaskini na mabanda ya nguruwe unaishi huko?
Hapo sijataja njaa 😁😁
Mapovu ya nini bwashee,sio mimi nimekusababishia uwe na Kansa ya ubongo na mtindio wake 😁😁Kumbe bado haujabadilika una akili zilezile. Uzi uanzishe mwenyewe bado unajichagulia na side ya kutetea kwa miaka yote hii.
Pumbavu ndio maana nyinyi WEUSI na WAFUPI sana vipipa nyie na nyumba zenu za matofali ya kuchoma
Hatunaga uswazi Wala mabanda ya nguruwe.Ka mji kamejengwa na tofali za kuchoma tu kama mbeya 😛
Hii swax unataka kuilinganisha na Kahama au mji gani?Hatunaga uswazi Wala mabanda ya nguruwe.
Sumbawanga 👇View attachment 2576965View attachment 2576966View attachment 2576967
Mbeya inaizidi nini Mwanza?Mapovu ya nini bwashee,sio mimi nimekusababishia uwe na Kansa ya ubongo na mtindio wake 😁😁
Mwanza imejaa maskini,mabanda ya nguruwe,njaa na horrible life usije kuthubutu kujilinganisha na Mbeya.View attachment 2576962
Hiyo ni Kiboko ya Bukoba,gulio la Kahama likashindane na Tabora hakuna Mji wa kulinganisha huku kwetu.Hii swax unataka kuilinganisha na Kahama au mji gani?
Vingi tuu hasa quality of life.Mbeya inaizidi nini Mwanza?
Mpumbavu kweli wewe, hiyo Tabora tu hakuna mji wa kusini unayoizidi kiuchumi, kiuzuri, na hata kwa mambo ya kiswahili.Hiyo ni Kiboko ya Bukoba,gulio la Kahama likashindane na Tabora hakuna Mji wa kulinganisha huku kwetu.
🤣🤣🤣🤣 Hii takataka hapa unaweza linganisha na wapi huku kwetu? Walau Bukoba ndio inajitahidi kidogoMpumbavu kweli wewe, hiyo Tabora tu hakuna mji wa kusini unayoizidi kiuchumi, kiuzuri, na hata kwa mambo ya kiswahili.
Kuna wilaya ya Tabora inaitwa Nzega hii kwa maendeleo yake huwezi kuilinganisha hata na mkoa wa Songwe.
Kuna Igunga hii hata sitii neno wewe kipipa
Kuna gari kali kama EBF VVIP za allys star au EBR za Katarama Huko MbeyaAcha wivu Bwashee ,Mwanza mshapigwa kamba.
Nani apeleke gari yake ya maana ikachakae huko Kwa washamba Mwanza?![]()

au VIP za Happy Nation zinazokuja Mwanza maana huko Mbeya Happy nation bado anawaletea DKY imagineHuna picha nyingine tuone mbona unahangaika na hizi tu?
🤣🤣🤣🤣 Hii takataka hapa unaweza linganisha na wapi huku kwetu? Walau Bukoba ndio inajitahidi kidogo
Sasa hio photoshop ya Majinjah ndo unasema ni gari ya majinjahOnyesha tofauti hapo,harafu tutajuaje kwamba inaenda Mwanza bila label? Yangu Ina label ya Majinjah

Soma link kwani hakuna maelezo hapo? Unaanza kukataa kwenu? 🤪🤪🤪Hii picha ya mwaka gani
Acha porojo wewe kama huna bando usifungue video..Huna picha nyingine tuone mbona unahangaika na hizi tu?
Kwa uzuri Mwanza is far.
Kiuchumi Mwanza is far.
Kitu pekee Mwanza inazidiwa na Mbeya napo ni kwa tabu sana ni Mvua za hovyo hovyo.
Embu tujikite kwenye mada yako hiyo Mbeya linganisha na Dodoma ambako kote kuna maghorofa ya kuhesabika.
Kuna group flani la wahehe wanajinasibu kuwa Iringa ni pazuri kuliko Mbeya japo ni padogo na wanatumia sana picha za mshindo na wilolesi na wala vifutu wa mbeya weusiii hawafurukuti
Tabora unapajua?Soma link kwani hakuna maelezo hapo? Unaanza kukataa kwenu? 🤪🤪🤪
Kanda ya Ziwa sijafika Bukoba na Musoma tuu na Kwa picha mnazoleta humu siwezi potezea nauli kwenda Vijijini kwenu huko hata mapato hamna.Tabora unapajua?
Yani wewe huko kusini kwenu hakuna mahali sijapita sio tu nayajua maisha ya watu wa kusini na jinsi walivyo ila nayaelewa hadi mazingira yao.