Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Tafuta pa kuficha hiyo sura Yako mbaya na yenye wivu ,ujenzi unaendelea huko.
Picha ziko wapi ...........,,,,,hata kwenye plan tu hamjawahi kuwamo ...si bora wangesema dodoma ningewaamini
Screenshot_20230314-194355.jpg
 
Hapo inaonyesha nini kama sio uswazi dot com ..Mara mia ungeweka picha za iringa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Niulete uswazi? Usije Anza kusingizia picha za zamani 😁😁
 
Back
Top Bottom