Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

...cheki slums kule nyuma...hii ndo inalinganishwa na Bukoba.....

Eti tuna manufacturing za pipi


Mtu ukimuuliza Bukoba kuna shida gan atakwambia stendi na soko......people watu wanajaji mji wa bukoba kwa kuongalia stendi na soko?


Tuendelee kutoa facts...

.View attachment 2569152
Ndugu yangu Iringa Iko mbali sana Kwa Bukoba we kubali tu
 
Kumbe unataka maghorofa

Kwa hiyo mji ni kuwa na maghorofa kama ni hivyo basi vijiji vya muleba na misenyi ni miji maana kuna maghorofa kibao huko migombani


Choiceavailable hebu leta takwimu zako za maghorofa....

Kagera ni mkoa wa kumi kwa idadi ya maghorofa ina maghorofa zaidi ya 700 huku iringa ina maghorofa 500 hao ni NBS sio mimiView attachment 2569164View attachment 2569165
Kwani hapa tunazungumzia mkoa Kagera au miji ya Bukoba na Iringa.
 

Hizi apartment huko geita vijijini zipo zmejengwa na KING MSUKUMA,Tena za kiwango zaidi na jamaa amewekeza mikoa ya biashara TU kama mwanza,geita,dodoma,na dsm huko mbeya jengeni mabanda TU
Screenshot_20230331-110048~2.jpg
 
Haya mambo ndo tunayoyataka kwenye miji yetu...sio kujenga jenga fremu na nyumba ovyo ovyo na kuita mji...

Tunahitaji shopping centres, plaza, malls nk....


Hii ni kibira plaza ipo 6km from Bukoba downtown maeneo ya Rwamishenye...
Screenshot_20230331-213208.jpg
Screenshot_20230331-213238.jpg
Screenshot_20230331-213221.jpg
Screenshot_20230331-213228.jpg
Screenshot_20230331-213145.jpg
Screenshot_20230331-213152.jpg
Screenshot_20230331-213217.jpg
Screenshot_20230331-213210.jpg
Screenshot_20230331-213130.jpg
Screenshot_20230331-213118.jpg
 
Back
Top Bottom