Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama Moja hyo
Screenshot_20230330-152945.jpg
 
Karibuni kwenye mada.

Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.

Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
hii inchi iko hivi wala msipate taabu angalia ramani yake vizuri yaani kadiri unavyotoka kaskazini kuja kusini mikoa na wilaya ndivyo zinazidiana kwa ubora nikimaanisha maendeleo na kielimu hivyo huwezi linganisha kahama na njombe
 
Back
Top Bottom