Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

that_mbeya_guy_1680353307142348.jpg
that_mbeya_guy_1680353307142925.jpg
that_mbeya_guy_1680353307142374.jpg
that_mbeya_guy_1680353307142895.jpg
that_mbeya_guy_1680353307142684.jpg
that_mbeya_guy_1680353307142845.jpg
that_mbeya_guy_1680353307142337.jpg
 
Nikajua Mikoa ya Kanda ya Ziwa Haina utapiamlo.kumbe imo [emoji2957][emoji2957].

Kwa hiyo unamkia ila unamcheka mwenye mkia mrefu au? [emoji16][emoji16]
We huoni kuwa mikoa yote ya kusini ipo kwenye top ya mulnutrition [emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787]
Kati ya Mikoa 10 .mikoa 5 yote ni kusini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..aibu hii
 
Mikoa ya Kanda ya Ziwa haipo kwenye List ya top?
 
We ulitaka zitajwe ngapi ,...kwani ulipokuwa primary,, zawadi ya ufaulu mlikuwa mnapewa Hadi nyinnyi wa nafasi ya 9 [emoji1787][emoji1787]...
List Ina
Iringa,
Kagera,
Rukwa,
Njombe,
Mbeya,
Ruvuma,
Simiyu,
Geita,

Back
Top Bottom