Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Misungwi haiwezi kuwa kilofa hivi, hii labda ni misasi na misasi kuna majumba makali na barabara safi adi mlangoni, hii ni nsalaga.
😁😁😁😁😁😁😁 Kwa hiyo unabisha 🤣🤣🤣🤣 unakataa kwenu ?
 
Uwanja bila Timu ni makumbusho
Sidhani kuna mwaka mkoa wa kagera ushawahi kukosa timu ligi kuu....ilikuwepo Balimi fc baadae Kagera sugar ambayo haijawahi kushuka ligi toka ipande....na imechukua kombe la tusker 2006...

Ni moja ya timu chache nchini tajiri...
 
Kabwe hatuna vitimu vya mashambani huko kwenye miwa
Nyinyi kuna timu ilishawahi hata chukua kombe la kitaifa? Vip inatoa wachezaji wangapi timu ya taifa?

Kagera sugar alishawahi kuwa bingwa wa tusker miaka ya 2006...timu ina hadi academy yake...
 
Umeanza kufuatilia soka baada ya kupata Kagera Sugar au?
 
Ila ndio lango la magonjwa kuingia Tanzania 🤣🤣
Iringa ina lima chai tz nzima ina kiwanda cha chai kikubwa nchini ina kiwanda cha maziwa kikubwa nchi nzima na ndo lango kuu la utalii iringa ndo mkoa unaozalisha mbao tz nzima sasa utafananishaje na hivyo vibandali vinavyopokea boti mbili kwa mwezi na kuhusu makanisha hiyo sio maendeleo ni ushamba wenu nyumbu ila makanisa yapo tz nzima
Na kwenye swala la viwanda iringa ipo mbali sanaa
 
Viwanda vya kuchakata maziwa na pipi.

Viwanda gani hivi vya pipi?

Viwanda vya maziwa, chai nk vyote vipo kagera...

Kagera kuna hifadhi mbili kama hujui Rumanyika national park na burigi chato nation park...
Tena unakuta idadi ya watalii wanaoenda Bukoba ni wengi kuliko wanaenda huko Iringa...watalii wangekuwa wengi uwanja wenu wa Iringa na songwe ungekuwa busy...
 
Bukoba port...second largest and busies port in the lake region baada ya ile ya mwanza....

Na iko inapanuliwa kwa kujengewa gati mpya kabisa...wew endekea kujisifia viwanda vya pipi
Screenshot_20230329-210249.jpg
 
Iringa ina lima chai tz nzima ina kiwanda cha chai kikubwa nchini ina kiwanda cha maziwa kikubwa nchi nzima na ndo lango kuu la utalii iringa ndo mkoa unaozalisha mbao tz nzima sasa utafananishaje na hivyo vibandali vinavyopokea boti mbili kwa mwezi na kuhusu makanisha hiyo sio maendeleo ni ushamba wenu nyumbu ila makanisa yapo tz nzima
Na kwenye swala la viwanda iringa ipo mbali sanaa
Maana halisi ya manispaa/ mji.....sio kujenga zile slum like manzese ndo mnaita Iringa municipality....

Hebu tazama haya mazingira ya bukoba
Screenshot_20230329-210245.jpg
Screenshot_20230329-210702.jpg
Screenshot_20230329-210127.jpg
Screenshot_20230329-210118.jpg
 
Ohooo Bukoba hakuna hotel ohoo sijui vile

Hotel zilizoko Bukoba sasa...

BCD stella maris hotel Bukoba...
Screenshot_20230329-210709.jpg
Screenshot_20230329-210804.jpg
Screenshot_20230329-210801.jpg
Screenshot_20230329-210757.jpg
Screenshot_20230329-210742.jpg
Screenshot_20230329-210738.jpg
Screenshot_20230329-210728.jpg
 
Viwanda gani hivi vya pipi?

Viwanda vya maziwa, chai nk vyote vipo kagera...

Kagera kuna hifadhi mbili kama hujui Rumanyika national park na burigi chato nation park...
Tena unakuta idadi ya watalii wanaoenda Bukoba ni wengi kuliko wanaenda huko Iringa...watalii wangekuwa wengi uwanja wenu wa Iringa na songwe ungekuwa busy...
Haya wataliii huwa wanaenda bukoba ili ulizke nyumbu
 
Viwanda gani hivi vya pipi?

Viwanda vya maziwa, chai nk vyote vipo kagera...

Kagera kuna hifadhi mbili kama hujui Rumanyika national park na burigi chato nation park...
Tena unakuta idadi ya watalii wanaoenda Bukoba ni wengi kuliko wanaenda huko Iringa...watalii wangekuwa wengi uwanja wenu wa Iringa na songwe ungekuwa busy...
Nyumbu huwa mnajijaza uongo kuwa ukwel mm nilijua tunaambizana ukwel kumbe ni joke's tu hapo sawaa kwel bukoba imeendelea Tanzania nzima au mnasemaje nyumbu kama nyumbu🤣😂😂😂😂😂😂😂😂 chai bora ipo available nchi nzima haya bukoba kuna chai gan inayojulikana dah mbk hapo ctabishana tena naona tunaleta joke's
 
Nyumbu huwa mnajijaza uongo kuwa ukwel mm nilijua tunaambizana ukwel kumbe ni joke's tu hapo sawaa kwel bukoba imeendelea Tanzania nzima au mnasemaje nyumbu kama nyumbu chai bora ipo available nchi nzima haya bukoba kuna chai gan inayojulikana dah mbk hapo ctabishana tena naona tunaleta joke's
Eti iko available nchi nzima...mbona Bukoba kuna yetu chai na iko kanda ya ziwa kote

Hio chai yenu kanda ya ziwa haipo...wala hayo maziwa yenu...
images%20(1).jpg
 
Back
Top Bottom