Acha uwendawazimu...huwezi linganisha Bukoba na miji ya huko kusini...tena sio kwa skyline...kwa kanda ya ziwa Baada ya Mwanza inafata bukoba kwa maghorofa na skyline hata takwimu za Nbs zinasema hivyoNiletee aerial shots za Bukoba
Hii hapa Songea,No uswazi ni magorofa tuu.View attachment 2564999View attachment 2565001View attachment 2565002View attachment 2565003View attachment 2565004View attachment 2565006View attachment 2565007View attachment 2565008View attachment 2565009View attachment 2565010
Sema mbeya mmetengwa sana....barabara nyingi ni za matope...yaan hapo naona barabara moja sijui ndo kuu...Unataka lipi bwashee
Mwanza imezidi Mbeya slums na pimbi kama wewe tuu.
Block Q/SidoView attachment 2565062
MwanjelwaView attachment 2565064
Duu sawa ila soon mnaanza kulia lia.Sema mbeya mmetengwa sana....barabara nyingi ni za matope...yaan hapo naona barabara moja sijui ndo kuu...
Na hapo ni baada ya kuwekewa filter kibao...
Tazama huo mtaa kule juu...na hii ni 2016 bukoba
View attachment 2565104
Mwanza tactics ni km 28 tarura km 10 tanroad 12km bado masoko 3 ya kisasa na ujenzi wa Kingo za mto wa kisasa upo hapo?😃😃Duu sawa ila soon mnaanza kulia lia.
Njia zimeanza kujengwa,Tactic km 21 tenda tayari, TanRoads wanajenga km 5 na Tarura kama kawaida km 7 .
Njoo hapa Mbeya 2025 uje uongee hayo uliyoyaongea.
Sawa ila sasa linganisha ukubwa wa Mbeya na Mwanza.Mwanza tactics ni km 28 tarura km 10 tanroad 12km bado masoko 3 ya kisasa na ujenzi wa Kingo za mto wa kisasa upo hapo?😃😃
Kumbe wakat mwngne una akili Leo umekiri Mwanza ni kubwa kuliko mbeya 😃😃😂Sawa ila sasa linganisha ukubwa wa Mbeya na Mwanza.
😂😂😂 Au sio kweli ewe shoga na akili zmeliwaUnataka lipi bwashee 😁😁😁
Mwanza imezidi Mbeya slums na pimbi kama wewe tuu.
Block Q/Sido👇 View attachment 2565062
Mwanjelwa 👇View attachment 2565064
😂😂😂 Akili zako zmebumbuliwa,,ukiwa timamu huwez linganisha Jiji linalofukuzia dar halafu ulinganishe na Jiji la sita linazidiwa adi na dodoma 😂😂Unataka lipi bwashee 😁😁😁
Mwanza imezidi Mbeya slums na pimbi kama wewe tuu.
Block Q/Sido👇 View attachment 2565062
Mwanjelwa 👇View attachment 2565064
Unaonekana umepauka kama hizi Barabara zako..
Hizi loadge wew nyumbu hujui hata maana ya hotelNdo maana hata unayemreply anakushangaa kimsingi Bukoba ina hotel nyingi kuliko hata hiyo mbeya yenu...au unataka tuanze kupost hotel moja moja....
Wew kama unaichukia Bukoba utaendelea kuumia mwenyew...maaana Bukoba itaendelea kukua siku hadi siku...
Google tu yenyew inasema Bukoba kuna hotel 27.....wew ushawahi hata kulala kwenye moja wapo? Kama hulali kwenye gest bubu...
Ingia hapo na uangalie hata reviews
View attachment 2564506
Lete vitu hiviView attachment 2565028
Huyu anaeisema bukoba vibaya ni mpumbavu na hajui alifanyalo kinachoiharibia bukoba ni vitu viwili ni stand pamoja na soko tu lkn bukoba ipo vzur mnoo Wana taasisi nyingi kama mashule,makanisa na mahoteli pia Wana barabara za lami nzuri mnoo had vijijini Wana kanisa zuri la catholic kuliko lolote Tz ila likiisha la mwanza kawekamo ndo inafuatia pale bukoba manispaa tu wanashule za advance kama 7 ihungo,nyakato,kahororo,rugambwa,bukoba sec,omumwani na private nyingi sana nilikuwepo juzi bukoba sasa hv Wana had magorofa 8 kama 5 ndo uje ulinganishe na ujinga wa njombe pia bukoba Wana uwanja mzur wa mpira kaitaba
Vyuo vikuu vipo dar,Moshi,Mwanza,dom,arusha mbeya na iringa hyo mikoa mingne wanavyuo vya katiChuo kikuu kipi Kwan bukoba hawana vyuo vikuu?