Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga


Bwege wewe,kina kitefu ndiko wanakua wakubwa..

Harafu usikariri hiyo ni specie ya tilapia tuu
Ubongo wako mgando kama ulivo ufupi wapi nakwambia ziwa Tanganyika Lina kina kirefu sana kuliko maziwa yote tz na samaki wanaopstikana humo ni migebuka halafu ew upo kusin matakoni mwa nchi mm mwanza to kigoma masaa matatu nishafika
 
Mbeya na Mwanza ni bampa to bampa kwenye uwekezaji 👇



Nyanda za Juu tumewakilishwa na Mikoa 2,Ruvuma inakuja Kwa Kasi sana.
 
Mbeya na Mwanza ni bampa to bampa kwenye uwekezaji



Nyanda za Juu tumewakilishwa na Mikoa 2,Ruvuma inakuja Kwa Kasi sana.
Idadi ya Miradi
1.dar
2.pwani
3.mwanza
20230323_194228.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe wa bukoba mc wapo wangap
Kwanza wamepanua manispaa ya Bukoba.....kutoka SQKM 101 sijui zitafika ngap...wanaongeza kata tisa za halmashauri ya wilaya ya Bukoba vijijini kwenye manispaa.


 
Back
Top Bottom