Hzo ni kauli za kushindwa kutoa hoja kwani hzo takwimu c znWekwa na watu tu mbona huwa huzipngi hao co kama wew huwa wanafnya research endelea kujifariji na kimji cha bukoka kilichokosa hata daladala
Yaan huo mji wa iringa ukitoa vyuo unabaki nini? Ni kamji kadogo nako kenye slums kibao, nyumba za wahindi na barabara moja ya dual...nothing special with Iringa...
So unatumia hoja ya daladala kulinganisha miji?...sasa daladala si zinawekwa kulingana na mahitaji? Ni kweli watu wa Bukoba wanaumia kukosa daladala? Kama mji unafikika na umefunguka na huduma je kuna ulazima wa daladala?
Kuna miji kama kisumu, Eldoret nchini kenya haina daladala ni bodaboda tu...je Iringa ni mji wa maana kuliko kisumu?
At least Bukoba kuna vitu inaizidi iringa ni vinaeleweka mfano Kuwa accessible na njia zote na usafiri...Bukoba kuna Airport na iko very busy, bukoba kuna bandari mbili na zote zinapokea meli, bukoba inaunganishwa kwa lami na mijj yote mikubwa...
Bukoba imejitosheleza kwa huduma za kijamii kama shule..kuna kata zina sekondari nne...Hospital na vituo vya afya kila mahali nk...
Bukoba ina a lot of hotels at least kuanzia nyota tatu na kuendelea
Bukoba una mtandao mkubwa wa barabara za lami..
Bukoba ni mji wenye kiwanja bora cha mpira hapa nchini...kaitaba..so hata kimchezo iko vzr...
Iringa ukiondoa vyuo kuna nini cha zaidi pale...there is nothing special hata hali ya hewa ya iringa huwezi linganisha na Bukoba bukoba has the best weather ya ukijani