KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Nyasa inamilk kamongo, kambale na mamba tu
Dah...yaan mkoa unawatu sawa na wilaya ya muleba..Mkoa wa njombe makambako tc ndo yenye ongezeko kubwa la watu ukilinganisha na halmashauri zingine
View attachment 2561248View attachment 2561249View attachment 2561250View attachment 2561303
Hawa pimbi si unajua now wanakwambia NYASA Kuna SANGARA 🤣🤣Dah...yaan mkoa unawatu sawa na wilaya ya muleba..
Lake Tanganyika hamna hao samaki hawaishi kina kirefu mbwa ewe halafu usichojua lake Tanganyika huku lipo karibu kuliko ewe ewe kenge sjui imetokea wapi TANGANYIKA Kuna migebuka TUWewe ndio hujui na unashangaa ,Sasa Kwa taarifa Yako wanaishi Kila Ziwa na huku Lake Tanganyika ni wakubwa kuliko hao..
Au nikanunue saizi nikuoneshe?
Dah...yaan mkoa unawatu sawa na wilaya ya muleba..
Dah...yaan mkoa unawatu sawa na wilaya ya muleba..
Leten zile evidance tuone kwanza nyie pimbiTupe wa bukoba mc wapo wangap
Unataka aende Ili umteke? 😆😆Nani yupo Kahama?
Yet Mkoa mzima wa Kagera is poor haiwezi fikia level za Njombe 👇Dah...yaan mkoa unawatu sawa na wilaya ya muleba..
Labda kwa dada zenu kupiga katelelo buguruni ndo linaizidi mbeyaBukoba ni zaidi ya mbeya, jiji la viazi.
Bwege wewe,kina kitefu ndiko wanakua wakubwa..Lake Tanganyika hamna hao samaki hawaishi kina kirefu mbwa ewe halafu usichojua lake Tanganyika huku lipo karibu kuliko ewe ewe kenge sjui imetokea wapi TANGANYIKA Kuna migebuka TU
Kusini miundo mbinu ilichelewa mno maana Kuna mpaka now wilaya haijaunganishwa na mkoa Kwa lamiMufindi dc kipande Cha Sao hill nyororo to mafinga zaidi ya km 30
View attachment 2562241
Unataka aende Ili umteke?![]()



🤌🤌🤌 hapana nipo hapa..