KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Baada ya Geita ,Chunya is second 👇
Sikia kenge yaan MADINI ni GEITA, SHINYANGA,MARA, halafu ndo huko CHUNYA mgod uchwara
Baada ya Geita ,Chunya is second 👇
Hii hapa 👇🤣🤣
Bwege hujui kuwa ebola imetoka Uganda, sasa kama hujui kuwa hizo ni geographical factors Tanzania imepoteza kuwa na mtu kama weweKagera ni lango la kuzimu na laana ,na ishieni huko huko msituletee balaa Kusini
Ebola
Kaka huon profile yang mm mwanza mwanza broHebu niletee sehemu kama hii jijini mbeya...ukiileta natoka humu...
Bukoba downtown View attachment 2556622
Hebu niletee sehemu kama hii jijini mbeya...ukiileta natoka humu...
Bukoba ni zaidi ya mbeya, jiji la viazi.Hebu niletee sehemu kama hii jijini mbeya...ukiileta natoka humu...
Bukoba downtown View attachment 2556701
Ghana panapendeza sana aseeRock city mwanza View attachment 2556663
Buswelu inazidi kupendeza tu.