ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,279
- 85,146
- Thread starter
- #14,201
Hakuna kitu hiyo itakuwa kama magofu ya Kahama baada ya csr kukata 🤣🤣
Hakuna kitu hiyo itakuwa kama magofu ya Kahama baada ya csr kukata 🤣🤣
Aliyekuambia kahama CSR imekata nani ..hiv bulyanhulu barrick gold.ipo mkoa wa Tanga eti au unajizima switch kwanZaHakuna kitu hiyo itakuwa kama magofu ya Kahama baada ya csr kukata![]()
Kama haijakata Kwa nini tumapato Huwa hatuongezeki miaka na miaka?Aliyekuambia kahama CSR imekata nani ..hiv bulyanhulu barrick gold.ipo mkoa wa Tanga eti au unajizima switch kwanZa
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta takwimu,,kama iringa mjini au njombe mjini inaizidi kahama mapato?Kama haijakata Kwa nini tumapato Huwa hatuongezeki miaka na miaka?
Nilijua tu ulivyo mbeya ...hili tangazo ushaliona ...
Dar Mwanza sijui kaweka ya nini,hapo ndio kaharibu![]()
18 tuu? Unaweza kuwa na hizo kampuni ila idadi ya mabus ni chache..Nilijua tu ulivyo mbeya ...hili tangazo ushaliona ...
Mwanza ndio kimbilio la matajiri wa mabus ..nishakuambia mpka sasa tuna makampuni 18 yanayofanya safari zake kwennda dar ,,,yakiongoza na katarux,alys na happy national ....
Navyo wajua wasukuma hawana dogo ,,sa hv ni mwendo wa G7 tu ,,,,baada ya muda mfupi utaona Kila kampuni Lina G7
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwaziri Chenu Cha Sasa Cha Tamisemi kinawafichia aibu,kimeacha kufanya kama Jafo na Bashungwa.Leta takwimu,,kama iringa mjini au njombe mjini inaizidi kahama mapato?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui unaongea nini ...ally's ana mabus nane ya dar ,, zuberi ana bus 6 . happy national 6, katarama 4 ,Alfa 4, abood 618 tuu? Unaweza kuwa na hizo kampuni ila idadi ya mabus ni chache..
Hadi Sasa Mbeya ndio route yenye bus nyingi ukiacha idadi ya kampuni, Newforce pekee anatoa bus 3 au 4 Kila siku kwenda Dar.
Kama ni Kimbilio hapo umeona Miji mingapi ya Nyanda za Juu Kusini? Tena njia Moja.
Leta figure acha manenoKiwaziri Chenu Cha Sasa Cha Tamisemi kinawafichia aibu,kimeacha kufanya kama Jafo na Bashungwa.
Hata hivyo nasubiria Wakati wa kusoma Bajeti kama wataweka mapato ya Kila Halmashauri
Kwa hiyo tukuamini wewe au LATRA? 🤣🤣Sijui unaongea nini ...ally's ana mabus nane ya dar ,, zuberi ana bus 6 . happy national 6, katarama 4 ,Alfa 4, abood 6
Nyataya , phoenix, isamilo,nk.magari Zaid ya 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Njombe Tourism is on 🔥🔥🔥
Hakuna kitu hapo yaani mnaitwa Manispaa ila bila csr ni zero kabisa kimapato na ndio sababu umaskini umetamalaki huko kwenu.Leta takwimu,,kama iringa mjini au njombe mjini inaizidi kahama mapato?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta mgawanyo wa matokeo ya sensa ya mwaka 2022 tuone.Mkoa wa njombe makambako tc ndo yenye ongezeko kubwa la watu ukilinganisha na halmashauri zingine
View attachment 2561248View attachment 2561249View attachment 2561250View attachment 2561303
Kimapato kahama imeizd iringa mjini ila kwenye swala la miundombinu na huduma za kijamii,elimu na maswala mengne yote kahama imepitwa na iringa mbali sanaaLeta takwimu,,kama iringa mjini au njombe mjini inaizidi kahama mapato?
Sent using Jamii Forums mobile app