Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Akili Yako imeliwa unazan samaki sato na sangara wanaishi Kila ziwa ewe pimbi
Wewe ndio hujui na unashangaa ,Sasa Kwa taarifa Yako wanaishi Kila Ziwa na huku Lake Tanganyika ni wakubwa kuliko hao..

Au nikanunue saizi nikuoneshe?
 
Sasa kama yanajenga hii mbeya mbona hovyo ata tarura wameshindwa kujenga road ni uchochoro TU
Mahitaji ya Barabara ni makubwa kuliko Bajeti ya Makusanyo ya ndani ndio maana pesa za ujenzi zinatoka serikali kuu via Tarura.
 
Mahitaji ya Barabara ni makubwa kuliko Bajeti ya Makusanyo ya ndani ndio maana pesa za ujenzi zinatoka serikali kuu via Tarura.
Barabara za mtaa zipo chini ya TARURA makusanyo ya halimashaur yanatosha kujenga hizo kilometer 5 sjui nne
 
🤣🤣🤣 Kweli maendeleo kusini yalichelewa sana naskitika kuona mtu Leo anashangaa Barabara ya lami wakat Kanda ya ziwa ad zipo za pavingi
Kati ya Nyanda za Juu Kusini na Lake zone wapi wamewahi kuona lami?

Bila Mkapa Bado mungekuwa mnalamba Matope ,wewe utakuwa ni mtoto wa juzi.
 
Kati ya Nyanda za Juu Kusini na Lake zone wapi wamewahi kuona lami?

Bila Mkapa Bado mungekuwa mnalamba Matope ,wewe utakuwa ni mtoto wa juzi.
🤣🤣🤣 Kusini lami kabisa unachekesha mm nmefanya KAZI mbeya miaka yaan ni fulu tope magufuli alpoingia akapendelea zaidi jombe Kwa maana ya mbadala wa mbeya koz mbeya haipangiki na haitapangika hizo GHARAMA hazipo hivo itabaki kuwa Kijiji kikubwa Cha hovyo tz
 
Wapi ambako Tarura hawajengi? Mavumbi yameisha hapo Mwanza? Acha utoto basi..
Mavumbi hat dar yapo ila kia's maana mwanza ni kubwa ata Kwa eneo kuliko Dar lakin sehemu za vumbi mwanza ni chache nazo nimeona Kwa bajet zimewekwa mwez wa nne tayr Kwa ujenzi
 
Back
Top Bottom