Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Utahangaika sana akili Yako inashida ndugu mwanza Jiji kubwa lenye stand nyingi nazan ukiona MABUS hapo nyegez utazan new York Sasa kama hyo inawakalisha skatai pengine huko kusini ndo bus pekee inayokja hko
Hayo mavumbi ndio Newyork ya Mwanza is slum 😁😁😁😁😆😆😆
 
Screenshot_20230318-132956~2.jpg
 
Mbeya ichukue Mbalizi iwe Manispaa,Uyole Manispaa na Jiji Mbeya CC itafikia walau watu 650k maana sioni sababu ya eneo la kuanzia Songwe Viwandani kuachwa Nje ya Jiji wakati eneo lote limeungana..

Hii itasaidia kile eneo kupimwa mapema kuliko kuacha ilivyo Sasa makazi yanazidi kusogea kwa Kasi opposite ya Songwe Airport,no one is responsible kupima.
Upo Sahihi kabisa lile eneo huwezi kusema ni mbeya vijiji ni bora waongeze kwenye jiji
 
Upo Sahihi kabisa lile eneo huwezi kusema ni mbeya vijiji ni bora waongeze kwenye jiji
Siasa uchwara za bongo ila songwe airport ingebaki songwe mbeya wakajenga kiwanja kingine lakin Kwa Sasa huo mpaka wa KISHAMBA sana walivokata
 
Upo Sahihi kabisa lile eneo huwezi kusema ni mbeya vijiji ni bora waongeze kwenye jiji
Hofu yangu ni wakiliacha ,Mji utaota mabanda kama Mwanza,Kuna eneo kubwa pale na linatazamana na airport ingekuwa poa sana mamlaka zichukue na zianze upangaji na uendelezaji mzuri.
 
Yaan nakuona kama akili zako zmeliwa na nazan ulitumbuliwaga Sasa hutaki kukubali kosa lako unaendekeza chuki zenu na ubinafsi ndo umeidumaza mikoa ya kusini yote kulogana,wivu na ukabila ni adui wa maendeleo
Utajua hujui 👇
 
Back
Top Bottom