Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Bila sauli,new force na super feo ...hamna mabus Tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hapo umeona hayo tuu?
20230320_215749.jpg
20230320_215503.jpg
20230320_215812.jpg
20230320_220055.jpg
southernhighlands_buses_fans_1679339176564643.jpg
mbeya_buses_167933936022580.jpg
 
Mkoa mzma wa shinyanga una ghorofa 300 🤣🤣🤣🤣🤣alaf kuna mlemavu mmoja anajichetua huku kushinda na na ukanda wa magorofa nyanda za juu kusini
 

Attachments

  • inbound8387390829006072898.jpg
    inbound8387390829006072898.jpg
    253.6 KB · Views: 7
We vipi unadhani mondi huwaga anakuja kahama analala wapi ???au hujiulizi kwa nini wasafi na huyo mondi mwenyewe wanapenda kuja kahama wanaangalia vitu vingi..Ikiwemo sehem za kufikia..Haya niambie ni lini mondi ashakuja huko iringa au njombe naye anaangalia na sehem za kulala ...Huwezi ukamlza mti kama mondi huko njombe
Watu wanapambana kukusanya wewe unataka wachezee hela.
 
Bila pesa za Msaada za Mgodi Halmashauri za Tarime,Geita DC,Geita Tc ni kama makambi ya Wakimbizi. 😜😜

 
Back
Top Bottom