ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,247
- Thread starter
- #14,161
Lake zone Jiandaeni Kwa maumivu mengine 🔥🔥
Terminal zinapaswa kuwa hiviUtateseka sana mwaka huu wa 2023,jiandae Kisaikolojia tuu.
Great Mbeya

Mbona kama Shopping mall au Godown la kutunzia spares za matajiri? 😁😁😁😁😁Terminal zinapaswa kuwa hiviView attachment 2559589View attachment 2559630View attachment 2559631View attachment 2559632
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuelewa maana ,,, ulimbukeni ndo jadi yakoMbona kama Shopping mall au Godown la kutunzia spares za matajiri?![]()

Hilo Godown kama station ya Sgr ya Pugu 😆😆😆😆😆Huwezi kuelewa maana ,,, ulimbukeni ndo jadi yako
International standard control tower..wapi ya songwe View attachment 2559643
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Hilo ndio Jiji ,mara mia Bora hata Songea 😁😁.Wivu.....utakufa nacho kijiba Cha roho
Ilemela inazidi kung'aa wapi mbeyaView attachment 2559644View attachment 2559645
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilemela beby .......watasema ni Mississippi.Hilo Godown kama station ya Sgr ya Pugu![]()
Hapo ndio songea mjiniKama Hilo ndio Jiji ,mara mia Bora hata Songea.
Nyanda za Juu tukoView attachment 2559649View attachment 2559650View attachment 2559651View attachment 2559652View attachment 2559653View attachment 2559654


...mbona pabaya hivo🥸



Pabaya kulinganisha na wapi? Leta Shinyanga,Musoma,Kahama na Bukoba tulinganishe
Nini kinakushushua hapa naona unarudia rudia kupost haka kapicha na hakuna jipya mbona?Ilemela beby .......watasema ni Mississippi.View attachment 2559655
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekapost wapi... mandhari kama hyo huwezi ipata popote hapa tz ....Nini kinakushushua hapa naona unarudia rudia kupost haka kapicha na hakuna jipya mbona?
Hapa ni pazuri sana na hapana madongo kama ya songea na NJOMBEMiji ya Kanda ya Ziwa na Western ni hovyo sana ukiacha Kigoma.
Hapa ndio Tabora MjiniView attachment 2559656View attachment 2559657
We bwege hicho kipicha Kiko jukwaa la Dom vs Mwanza hakuna kitu hapoNimekapost wapi... mandhari kama hyo huwezi ipata popote hapa tz ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo Hilo jukwaa la Dom ,,ndio watu wa mbeya na njombe linawahusubWe bwege hicho kipicha Kiko jukwaa la Dom vs Mwanza hakuna kitu hapo

Haka kajengo hakaishagi? Unatuchosha na ni aibu Kwa wanaojiita Jiji kushika kapicha kamoja 😁😁Kwa hyo Hilo jukwaa la Dom ,,ndio watu wa mbeya na njombe linawahusub
.. jukwaa Lenu Ni hili Kwa hyo natembeza dozi kote
Mkandarasi yupo site . ilemela.. apartment block.TBAView attachment 2559706View attachment 2559708View attachment 2559714View attachment 2559723
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya na.Nyanda za Juu ni 🔥🔥
Hata sijasema Hilo jengo...nimekuonyesha site ya ujenzi wa TBA pembeni ya Hilo jengo .hujaona mabati hapo..au bangi zimekoleaHaka kajengo hakaishagi? Unatuchosha na ni aibu Kwa wanaojiita Jiji kushika kapicha kamoja![]()