Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Huna hata bundle ya kuangalia video 😅😅
Njombe beby ..
Una matatizo sio bure.Sokomatola na Mwanjelwa
View attachment 2536758
Kahama umewahi kuiona? 🤪🤪
Matatizo gani? Una hela ya badle kwanza?Una matatizo sio bure.
Ilo soko lipo wazi hakuna mpangaji ata mmoja, limebaki kuwa pambo la mji la walima viazi.
Unamdanganya nani na Kwa maslahi ya nani?Ilo soko lipo wazi hakuna mpangaji ata mmoja, limebaki kuwa pambo la mji la walima viazi.
Kwani uongo lete picha tuone lilivyo occupied niondoke jf mileleUnamdanganya nani na Kwa maslahi ya nani?
Acha ujinga, leta uthibitisho.Unamdanganya nani na Kwa maslahi ya nani?
Hizi ndio cbd zimekaa kama magenge ya nyanya ya kule tandale na buza kwa mapalange.Sokomatola na Mwanjelwa
View attachment 2536758
Njoo na kingne. Since 2021 wenzen wanazoWe boya kweli,ziko wapi we mshamba wa gulio la Kahama? Kuleta waraka Kwa wakllosai bila picha hakuna mtu atakuamini.
Kwanza hamna hata Barabara zitawekwa kwenye mavumbi? 🤪🤪Njoo na kingne. Since 2021 wenzen wanazo View attachment 2536778
Picha ya kwanza mpka ya tatu ni za zaman. Ila bado arusha na mbeya hamjafikia hayo mandhariKama 2km ni Nje ya CBD hiyo CBD ni mita ngapi?
Mwanza mtaruka ruka wee ila mwisho wenu ni hapaView attachment 2536687View attachment 2536688View attachment 2536689View attachment 2536690
View attachment 2536786View attachment 2536788View attachment 2536787View attachment 2536790View attachment 2536789View attachment 2536792View attachment 2536791Hizo taa zenu mbona wameweka kwenye matope na bado mnashangilia.Kwanza hamna hata Barabara zitawekwa kwenye mavumbi? 🤪🤪
Hayo magenge Yaweke hapa tuyaone vinginevyo ni wivu tuu 😆😆Hizi ndio cbd zimekaa kama magenge ya nyanya ya kule tandale na buza kwa mapalange.
We ulivyoweka magulio ya viazi unataka tuyabadirishe yawe new york, au las vegasHayo magenge Yaweke hapa tuyaone vinginevyo ni wivu tuu 😆😆
Onyesha hayo Matope sio kuandika kama unaharisha, Sumbawanga hakuna mavumbi kama KahamaHizo taa zenu mbona wameweka kwenye matope na bado mnashangilia.
Huna hoja.We ulivyoweka magulio ya viazi unataka tuyabadirishe yawe new york, au las vegas