Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Hamna jipya Kila siku ni hayo hayo
Mpaka ifike asilimia 100 .... bilioni 700 zipo hapa ..Hamna jipya Kila siku ni hayo hayo
Naona mmjengewa administration block ya chuo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Endelea kuteseka na kuweweseka Kwa wivu.Naona mmjengewa administration block ya chuo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Administration blockEndelea kuteseka na kuweweseka Kwa wivu.
Mwanza mtatandikwa spana na Mbeya Hadi Maji muite mama.[emoji16][emoji16]View attachment 2557353View attachment 2557354View attachment 2557355View attachment 2557356View attachment 2557357View attachment 2557358View attachment 2557359View attachment 2557360
Jengeni stendi kwanzaTunaendelea kuwasaidia usafiri maskini wa Kanda ya Ziwa.[emoji116][emoji116]
Songea MC 👇👇
Utateseka sana mwaka huu wa 2023,jiandae Kisaikolojia tuu.