ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,247
- 85,127
- Thread starter
- #12,701
Compare and contrast.
Iringa Airport vs Bukoba
Iringa Airport vs Bukoba
Nimeona picha yanguMtaweza kweli? Kajipangeni upya kwenye sekta ya mabasi VIP ndio mje kushindana na sieView attachment 2530266View attachment 2530267View attachment 2530268View attachment 2530269View attachment 2530270View attachment 2530272View attachment 2530273View attachment 2530274

Tanzania nzima hakuna kama hiliMwanza mtanisamehe ni Kweli tumekubaliana tusifananishe Busan City ya Tanzania na Viazi Village, Nimeshindwa kunywa maji kwa kugugumia nimeamua niwaletee na Viazi Village waone Hili dude linabeba watu 7,000
View attachment 2531694View attachment 2531695View attachment 2531696View attachment 2531697
Iko wapi tukung'amue?Nimeona picha yangu![]()
Bado sana ,kajipange harafu urudi tenaPride of lake zoneView attachment 2532289View attachment 2532290View attachment 2532291
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo ya sasa au ya zamani??Compare and contrast.
Iringa Airport vs Bukoba
ZamaniHii ndo ya sasa au ya zamani??
Watu wa arusha tukiangalia tunasonya tu



Naona unarudia rudia tu tu Marco polo mchongoBado sana ,kajipange harafu urudi tena View attachment 2532562View attachment 2532563View attachment 2532564View attachment 2532565View attachment 2532566



Na mtabakia kusonya tu maana ,,mambo mazuri yanapelekwa potential areas..Watu wa arusha tukiangalia tunasonya tu![]()
Kama ambavyo mkiona hii barabara na huo mjengo hapo arusha mnabaki kusonya tuNa mtabakia kusonya tu maana ,,mambo mazuri yanapelekwa potential areas..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kumepauka hvyo ..... tulitegemea Hilo jengo lingetengeneza skyline safi hapo arusha lakin wapi ... underground hapo ni uswazi wa kufa mtu ..Kama ambavyo mkiona hii barabara na huo mjengo hapo arusha mnabaki kusonya tuView attachment 2532588

hata barabara inaonekana smart We kwenye hio barabara ya 1.2 kmMbona kumepauka hvyo ..... tulitegemea Hilo jengo lingetengeneza skyline safi hapo arusha lakin wapi ... underground hapo ni uswazi wa kufa mtu ..
Si bora hapahata barabara inaonekana smart View attachment 2532598
Sent using Jamii Forums mobile app


Endelea kujidanganya ni km 1.2..hyo dual carriage yenu ya mchongo..imezungukwa na migomba kuanzia Philips Hadi tengeruWe kwenye hio barabara ya 1.2 km![]()
..
kwamba hujui kuwa kuna mji unaitwa njombe? pityNjombe ni mkoa.
Alaf mbona mji wenu hauna magari ni vipanya tu naviona hapoEndelea kujidanganya ni km 1.2..hyo dual carriage yenu ya mchongo..imezungukwa na migomba kuanzia Philips Hadi tengeru..
Nishasema makongoro avenue ni Kali kuliko hiyo nzira yenuView attachment 2532621View attachment 2532624
Sent using Jamii Forums mobile app
Utajua hujui ..hyo sugunyo inakutoshaAlaf mbona mji wenu hauna magari ni vipanya tu naviona hapo